Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
View attachment 1839252

Ujasiri ni kipaji inawezekana sio kipaji chako waachie wenye vipaji . Wako kama wewe mkifugwa siku moja tu mtakuwa kama watoto sasa siku 400
 
Yaani Kiongozi anakanyaga KATIBA ,anafuatwa sirini halafu ataamua yeye kukubali au kukataa!!..
Swadakta,huu ndiyo usawa. Shida yenu mnafanya mambo ili muonekane ila hamfanyi mambo kwa maslahi ya jumla.

Njia hizi hazijawahi kifeli. Jaribuni muone. Siyo uhuni,mioyo imeumbwa na haya. Unapotaka kuminyamana kumbuka mtawala na yeye ni mwanadamu,atatumia nafasi yake kuleta maafa kwa wengine na kwako pia,jambo ambalo ni uzembe.
Labda iwe ni kingdom au Monarch. Taifa la kidemokrasia hilo halipo..
Huo ni ufalme mkuu!..
Ndiyo maana mfumo wa Kidemokrasia ni mfumo wa KISHETANI na ulio shindwa,hakuna uhuru usio na mipaka huo ni utumwa wa matamanio. Kila jambo lina watu wake.

Huo sio ufalme bali hiyo ni siasa kwa maana ya ile ya kiasili.

Manabii na mitume wote haya ndiyo mapito yao,na hawajawahi kushindwa.
Yaani Rais akosolewe faragha au aandikiwe barua!!!!
Sahihi kabisa huu ndiyo usawa na wstu wote wenye akili timamu huwa wanafanya hivi.

Chukulia wewe mfano na uwe muadilifu,unaonaje mtu akakusoa faragha kwa adabu,upole na maarifa na yule anaye kukosoa hadharani kifedhuli,hata huyo Mdude nina uhakika hapendi kukosolewa hadharani.

Sasa msifanye mambo ambayo mkifanyiwa nyinyi hamtapenda.
 
Swadakta,huu ndiyo usawa. Shida yenu mnafanya mambo ili muonekane ila hamfanyi mambo kwa maslahi ya jumla.

Njia hizi hazijawahi kifeli. Jaribuni muone. Siyo uhuni,mioyo imeumbwa na haya. Unapotaka kuminyamana kumbuka mtawala na yeye ni mwanadamu,atatumia nafasi yake kuleta maafa kwa wengine na kwako pia,jambo ambalo ni uzembe...
Wewe una roho ya MEKO. Sihitaji kushangaa sana . Hakuna Absolute Power katika Katiba yetu. Hiyo mnajipa ninyi. Pia mmijipa nguvu ya kuamua hivyo.. Hii ndo fact
 
Wewe una roho ya MEKO. Sihitaji kushangaa sana . Hakuna Absolute Power katika Katiba yetu. Hiyo mnajipa ninyi. Pia mmijipa nguvu ya kuamua hivyo.. Hii ndo fact
Nilijua tu hutaweza kuvunja hoja zangu.

Sasa narudi kukupa nasaha. Demokrasia ni kwa ajili ya watu fulani na si maslahi ya taifa,ndiyo maana nchi zinazo ishi katika mfumo huu hazina utu.

Chochote kinacho tengenezwa na mwanadamu kina makosa mengi,ndiyo maana mtawala anapo ingia na kupata wasaa hutenda kile anacho kiona ni sahihi kwa wakati huo. Hili halikwepeki.

Mola awalani wanaharakati wote na wale wote wateteao Demokrasia.

Kingine huwezi kumfurahisha kila mtu, hili halipo,ndiyo maana mpaka leo kuna watu Wanamkana Mola,huku anawapa pumzi na rizki,huu ni mfano tu tena mwepesi mno.

Someni historia za watu walip fanikiwa,watu kama Mdude wangekuwa si wenye kutajika,ni wahuni pekee ndiyo wanaweza kumtetea mtu mjinga kama huyu.

Kingine jifunzeni kutofautisha mambo,na kamwe msilinganishe vitu visivyo fanana,yaani raisi wa nchi kwa kile anachosema na raia wa kawaida.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
 
Unayasoma je haya?

IMG_20210704_143127_720.jpg

Usisahau wa kutuliza mat*ko alikuwa ni CCM. Hata wa kubakia na m@vi yao alikuwa CCM pia.

Au hayo yalikuwa sawa?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Tuambie hayo matusi vinginevyo ni yale yale ya Magufuli kwamba akikosolewa anadai ametukanwa. Nchi hii lazima tukubali kwamba tuna viongozi wanadamu na siyo malaika.
 
Kwa hiyo Chadema ni sawa na CCM?

Nimekuletea ya CCM ujue hayo ni matusi ya wazi tena ni jinai. Usisahau kuna wa uvccm waliowahi kusema hadharani kuwa "tuwaue wapinzani" achilia mbali yule mbunge wa CCM aliyesema mbunge wa upinzani auawe. Yote hayo ni jinai jombi.

Nirudi kwa Mdude:

Kumnyoa mtu kwa wembe ule ule ni lugha ya kawaida katika kiswahili baina ya wanaohasimiana kisiasa au michezoni. Lugha hiyo hutumika hata huko CCM.

Mwingine huyu hapa:

IMG_20210704_182559_068.jpg

Unaona ni sawa?

Kosa la Mdude nini?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Tulishazoea kuteswa,kufilisiwa,kubambikiwa kesi,kutekwa ,mama yako nae akiamua kuondoa dhamira we don't care, to hell.
 
Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?...
Tatizo lenu ni kudhani "kwa vile CCM walifanya" basi ni sawia kwenu kufanya pia. Kwa maana hiyo ninyi hamna tofauti na CCM. Sasa kwanini Watanzania wapoteze muda nanyi msio tofauti na hao walio madarakani
 
Back
Top Bottom