CCM wakifanya uhuni chama makini kama chadema hakitakiwi kuiga uhuni huo.
Wanapoiga uhuni huo ati kwa kuwa !CCM nao wanafanya maana yake mnatupa picha kwamba CCM ndio ma role modo wenu.
Akina mdude wanapokemewa juu ya kauli zao mbovu haimaanishi kwamba CCM hawafanyi,bi inamaanisha kwamba chadema wanatakiwa wawaoneshe CCM ustaarabu.
Mkienda hivi manake hata mkishika dola mkiwa mnaiba mali za umma na kufanya ufisadi kisha wananchi wakalalamika nadhani mtawapa kumbukumbu namna serikali iliyopita ya Ccm ilivyokuwa inafanya mambo hayo.
Hii ndo maana yake kwamba mkiingia madarakani na chadema nao watafanya ufisadi kama ule unaofanyika chini ya utawala wa ccm,kisha wakilalamikiwa atasema mbona wakati wa ccm ufisadi ikuwepo sana mlikuwa hamsemi.
Ndio maana nasema kwamba hawa wanaojiita wapinzani nao hawana lolote jipya zaidi ya kupigania matumbo yao tu na vielelezo ni vingi vyenye kuthibitisha haya ninayoyasema.
Mtu mwenye akili pana huwezi kumkuta upinzank wala ccm utamkuta akichambua hoja na kumili katika hoja za vyama vyote.
Umeandika mengi from nowhere. Uliweza kuiona comment #8 pia?
Kumbuka nimeonyesha walichofanya CCM ni jinai. Pia nimeonyesha mafanano ya aliyofanya Mdude na yule bwana wa Zanzibar.
Ninakazia Mdude hajafanya kosa lolote kisheria. Kama mnaona lipo mpelekeni mahakamani.
Ikiwapendeza zaidi na mwingine huyu hapa:
Au nasema uongo ndugu zangu?