Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Honestly sioni future yao kabisa heri tumtumikie kafiri tupate ujira wetu. Hao unajikuta unatamani kushauri japo hata kidogo unaishia kushushiwa heshima.Hakika mkuu,yaani wafuasi wa Chadema hawaeleweki.ni hivyo tu siwezi kujiunga na ccm.yaani kuna wanachama ukitoa tu ushauri kuhusu chama basi wanakwambie we ni ccm hadi unajiuliza huyu mtu anatumia akili kweli?
Najiuliza ningekuwa ndio mimi Magu nigewafanya nini watu kama hao na madaraka yote ambayo ningekuwa nayo unaishia kutukanwa na mpuuzi tu anasubiri loan board impe boom anunue MB za 1000 kutukana tu