Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mungu ni mmoja tu,aliyemchukua magufuli ndiye anahesabu siku walioshangilia pia.

lakini maisha lazima yaendelee.
And you are a pro killer who call urself a corinthian ...hope ur not referring to a holly bible
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Masalia ya Meko upo?
 
Hivi ni lini maccm yaliomba radhi kuhusu kauli hii ya huyu taahira!?
Kwa hiyo,
Jirani yako akitoka ndani na kuanza kutukana ovyo nawe unaiga ili kuonyesha unaweza?.
 
Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Freedom of speech haimaanishi absence of reasoning. Ndo maana ukitembea uchi tunakuvisha nguo. Siyo aibu kwako tu, ni aibu kwetu pia. huyu usimpe akili hiyo, akili ni ndogo.
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Alichopata kutoka kwa jiwe kilistahili
 
Anajiona shujaa kumbe ni mtu aliyekosa adbau.

Anatakiwa kusoma upepo yeye na wana chadema wenzake...
Kauli zao zitawa cost big time hawataki kufanya research na kujua wananchi wanataka Nini wao ni kujiropokea
 
Nilijua ana akili hata kidogo kumbe hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana
Hilo limdude lenu ni lipumbavu, asirudie kusemaje mama hivi , ovyo kabisa
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
View attachment 1839252
Shikilia hapo hapo Mdude usiachilie, dogo.

Naona umewashika MATAGA & MATHA kunako!
 
Haahaa mkuu kanywe maji kwanza
Mkuu acha tu, naona watu wamezidi kutukana badala ya kutafakari na kuibizana kwa staha wacha iwe hivyo, tusi kwa tusi halafu itaeleweka aliyeshika jembe ni Nani na aliyeshika mpini ni Nani🤷
 
Freedom of speech haimaanishi absence of reasoning. Ndo maana ukitembea uchi tunakuvisha nguo. Siyo aibu kwako tu, ni aibu kwetu pia. huyu usimpe akili hiyo, akili ni ndogo.
Huyu mama si ndo alisema hata upinzani ukishinda wao lazima waunde serikali ? alisema pia askari wao akimkosa mtu kwa risasi 16 anafukuzwa kazi . Yalikuwa maneni ya dhihak kubwa kwa watamzania na TUNDU LISSU, is that the reasoning ur talking about?
 
Huyu mama si ndo alisema hata upinzani ukishinda wao lazima waunde serikali ? alisema pia askari wao akimkosa mtu kwa risasi 16 anafukuzwa kazi . Yalikuwa maneni ya dhihak kubwa kwa watamzania na TUNDU LISSU, is that the reasoning ur talking about?
Are you attempting to play stupidity as a way of reciprocating to a stupid idea?
 
Vitu vingine upinzani huwa hawako smart wanajikuta wanakumbana na Dola, isingekuwa Rais angekuwa jela ila hawajifunzi tu
Kuna kiongozi aliwahi kulinganisha na upinzani wa Kenya. Tatizo ni aina ya watu walio upinzani kukosa heshima wakitegemea wapewe na wasikilizwe. CHADEMA alipohama Slaa wakabakiza mabingwa wa vituko. Ndo wanaoitwa mashujaa.
 
Kuna muda tuliona wanaonewa, ila kwa lugha hizi unapata swali la ziada, pengine aliyemuweka ndani alikuwa na sababu!
 
Back
Top Bottom