Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Polisi mnasubiri nini kumkamata mdude?Mpaka dakika hii alitakiwa awe ndani

Kumtukana amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ni jambo hatari sana kwa usalama wa nchi yetu.

Tunataka akatuambie alimnyoa vipi mtangulizi wake na aeleze mahakamani naomba akamatwe mara moja
 
Sasa akamatweje maana kaachiwa kwa huruma za mama,ingekuwa enzi za yule sadist sasa hivi jezi yake ingekuwa na tarehe ya kuingia peke yake
 
Polisi mnasubiri nini kumkamata mdude?Mpaka dakika hii alitakiwa awe ndani

Kumtukana amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ni jambo hatari sana kwa usalama wa nchi yetu.

Tunataka akatuambie alimnyoa vipi mtangulizi wake na aeleze mahakamani naomba akamatwe mara moja

Ninakusoma hapa chini ukiwa umetupia kiduku kichwani:

IMG_20210704_051559_619.jpg

Inafahamika kuwa kwenye red yanakuhusu:

IMG_20210705_090501_586.jpg

"...... hata kama ni la kijinga." ----- ninakazia.

Hiiiiii bagosha!
 
Binafsi nashukuru kuona Chadema bado inapendwa na kufuatiliwa kwa makini na watu wengi.

Wengi wetu wanapenda Chadema kukua kimkakati na kuwa ni taasisi kubwa inayoheshimu na kufuata code of conduct za siasa na utawala bora.

Shime shime Chadema issue ya Mdude irekebisheni inaweza kupoteza dhima mzima ya operation haki na ustawi wa Chama.
 
Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.

Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
 
Mh nikajua kipigo cha yanga kimeua kelele za mdude... Bado mnamfungulia thread tu?
msimpe umaarufu to that extent.
Hatumpi umaarufu.nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli. Alitakiwa abaki lupango labda akili ingemkaa sawa. Shenzi sana ameniudhi.
 
Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.

Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
Hivi kwani katukanaJe ?!.
Oh matusi , matusi & matusi kwani kasemaJe !!
 
Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.

Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
Kama hana akili timamu si aachwe..... Kwa kuwa Siyo kosa lake.
 
Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.

Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
Huyo Mdude Nyagali na Wenzake akina Mbowe wana makazi mpaka ulaya na arabuni.....

Sijui huwa hafikirii kuwa wakitumwa askari kwake wanatumwa vijana wenzake ambao nao hawana uchumi wowote,hawana femilia....na wakitakiwa kutekeleza lolote hutekeleza tu.

Mdude ni fulafula tu mpenda kiki.

Ajifunze kwa wale Masheikh wa Uamsho.....Sheikh Msellem amesema "huwezi KUSHINDANA na mwenye nguvu....."

Aendelee tu kutukana WAKUBWA....aendelee tu.
 
Vijana wa afrika tuna matatizo mengi ya kupambania familia zetu zaidi ya "BIFU" na watawala.....

Ikiwa Askari tu wanawaheshimu watawala....iweje "siasa za KILIBERALI" ziwasahaulishe akina MDUDE uhalisia wa maisha ?!!!

Ujinga tu wa kuishi NDOTONI......
 
Back
Top Bottom