Acha tukae tu. Lkn Samia na ccm hawatakuwa salama.Ilani ya uchaguzi ya CCM haina kipengele cha katiba mpya....
"MTAKAA SANA HAPO"!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tukae tu. Lkn Samia na ccm hawatakuwa salama.Ilani ya uchaguzi ya CCM haina kipengele cha katiba mpya....
"MTAKAA SANA HAPO"!!
Usalama upi mkuu ?!!Acha tukae tu. Lkn Samia na ccm hawatakuwa salama.
Mechi ya Kigoma utakuwepo?Hatumpi umaarufu.nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli. Alitakiwa abaki lupango labda akili ingemkaa sawa. Shenzi sana ameniudhi.
Huu uzi wako ni wa 79 hopely utaunganishwa maana northing newHatumpi umaarufu.nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli. Alitakiwa abaki lupango labda akili ingemkaa sawa. Shenzi sana ameniudhi.
Matusi, matusi , matusi !!. AmemtukanaJe huyo mtawala ?!. Mbona tusi lenyewe halipo !Ukimtukana Mungu atakuhukumu atakavyopenda.... possibly huko mbinguni.....
Ukimtukana binadamu mwenye mamlaka basi ujiandae kwa vita katika maisha hayahaya.......
Aliyewafanyizia kina Mawazo, Saa 8, Gwanda, Tundu nk nk . Yuko wapi ?! 6ft under[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo Rais kaufyata?!!!!
Yaani unamuambia mkuu wa nchi utamnyoa kwa wembe? Khaaa ha ha ha ha
Endelea tu kumtia ujinga huyo Mpumbavu Mdude.
Ila adhabu ya kaburi aijuaye maiti.....yakimkuta hutojitokeza KUMSAIDIA.
Aisee ninyi jamaa kweli ni KEYBOARD WARRIORS [emoji1787][emoji1787]
Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Matusi, matusi , matusi !!. AmemtukanaJe huyo mtawala ?!. Mbona tusi lenyewe halipo !
Kusema wembe uliotumika kunyoleo utakua huo huo
Sasa hapo amekosaje adabu?
Ukiona hivyo basi ni wale waliokua wamempa jiwe uungu!
Sioni kosa lolote hapo la mdude kusema hivyo!
🤔 Mimi hata buku sijapata 😁Shida yenu, mnadanganywa na hao wanaowapa hela za misaada huko nje
Kazi mmezoea kuishi kinafki tu
Bro ongelea issues, kama na wewe ni level ya reasoning ya kina mdude, niambie nikuweke kwenye trash list.🤔 Mimi hata buku sijapata 😁
Hizi siasa za fear bwana
Cant you stop already?
Kunyolewa na wembe tatizo liko wapi?
Yaani haya majitu,fear za magufuli mnazo bado na unataka ziendelee kwa vizazi vifuatavyo?
Tuna aspire kua free world kama mataifa ya mbele huko, provocation ni part of our life, deal with it!
Wewe unasema huku umejificha na I'd feki jitokeze hadharani ubwabwaje maneno yako ili tukuone kuwa wewe sio mnafiki
Matoto mengi kwenye huu uzi hayana wazazi wa kike.Ufupi wa akili ni pale unapoacha kuongelea mambo, mipango na mipangilio au issues, unaanza kuongelea watu, tabia, personalities. Huko ni kukosa na kufilisika kichwani ba kisera.
Shida yenu, mnadanganywa na hao wanaowapa hela za misaada huko nje. Wee huwezi kumuongelea lugha ya kipumbavu mama mwenye staha, halafu sisi tunayemuheshimu na kumpenda tukakuchekea na kukenulia meno. Hivi unajua nafasi ya mama, au mwanamke kwenye jamii yetu sisi waAfrika? Mnaijua laana. Hivi unajua maana ya neno la kiswahili usije kosa radhi ya mama?Kuweni makini kuiga kila jambo. Tumekwazika sana tabia iliyoibuka ya kumsema mama wa watu bila staha.
Huyu mama hana baya hata moja alilowatendea. Lkn nyie mkiongozwa na mvuta bangi wenu, mnazunguka huku na huku kutukana. waTanzania wanaona. Na mjipange, mjichunguze na mjitathimini, vinginevyo mtakuwa vitu vya kupuuzwa tu.
Watu wanajitoa ufahamu tu. Mbona hawaku uuliza Capt. Komba alimaanisha ninialipoima wimbo wa "Wembe ni uleulu ushindi halafu kibwagizo kikisema, " wapinzani tuwachinje, tuwachanechane tuwatupe!" Sikuona mtu yeyo te akishtuka na kuhoji! Hivyo wembe ni uleule. Una pande mbili. Kwa Ccm na kwa wapinzani! Ni vizuri kuelewa kuwa lugha ya kipropaganda ni tofauti na ligha ya kawaida ya kila siku. Kwani wembe ni nini? Unadhani nyagali atanunua wembe wa aina ya rungu na kumkatakata raisi? Kwani Mdude alimkatakata mwendazake na wembe upi? Mdude alikuwa tishio lolote kwa mwendazake ili sasa tuogope? Hakuna haja ya kulikuza sana jambo hilo mpaka kwa wenye busara linakosa mantiki!Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Acha uoga hilo ni onyo tu
Kwahiyo mdude alimnyoa wapi magufuli??Watu wanajitoa ufahamu tu. Mbona hawaku uuliza Capt. Komba alimaanisha ninialipoima wimbo wa "Wembe ni uleulu ushindi halafu kibwagizo kikisema, " wapinzani tuwachinje, tuwachanechane tuwatupe!" Sikuona mtu yeyo te akishtuka na kuhoji! Hivyo wembe ni uleule. Una pande mbili. Kwa Ccm na kwa wapinzani! Ni vizuri kuelewa kuwa lugha ya kipropaganda ni tofauti na ligha ya kawaida ya kila siku. Kwani wembe ni nini? Unadhani nyagali atanunua wembe wa aina ya rungu na kumkatakata raisi? Kwani Mdude alimkatakata mwendazake na wembe upi? Mdude alikuwa tishio lolote kwa mwendazake ili sasa tuogope? Hakuna haja ya kulikuza sana jambo hilo mpaka kwa wenye busara linakosa mantiki!
Kama jela kuzuri kakae weweNilijua ana akili hata kidogo kumbe hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana