Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mkuu itakuwa lugha ya kiswahili tu inakupiga chenga. Tangu lini neno KUNYOA likawa tusi??
Kiswahili hakijawahi kunipiga chenga tangu nikiwa tumboni. Inategemea hilo neno unalitumia wapi, kwa minajili gani, kwa ajili ya nani na wakati gani. Ila kama nyie mnaamini huyo mtu yuko sahihi. Endeleeni tu.
 
Mdude kaongea lugha ya kawaida tu ya kisiasa. Lugha ya Mdude haina shida, shida ilo kwenu mnaotafsiri.
Shida kubwa ipo kwa chawa. Mama ni mtu wa visiwani Zanzibar, mahala kiswahili kilipozaliwa. Anakijua kiswahili vizuri sana. Hawa chawa wanatafuta uteuzi.
 
Shida kubwa ipo kwa chawa. Mama ni mtu wa visiwani Zanzibar, mahala kiswahili kilipozaliwa. Anakijua kiswahili vizuri sana. Hawa chawa wanatafuta uteuzi.
Tatizo lenu kila tukikosoa mambo ya kizwazwa ya akina MDUDE mnasema tunataka teuzi.....hivi Rais atatuteua vijana wote wa UVCCM ?!!

Hivi Kati ya WALIOTEULIWA ,wote wamekuwa mstari wa mbele kukipambania chama ?!!

UTEUZI si ajira ya "kiprofesheni"...hata Wewe unaweza kuteuliwa ikimpendeza mteuaji.....
 
nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli.
Kwenye hiyo kauli ya Mdude kuna neno lipi baya?? Binafsi naona wewe ndiye unapaswa kukamatwa na kushughulikiwa kwa kumwita Mdude mpumbavu.
 
Kwenye hiyo kauli ya Mdude kuna neno lipi baya?? Binafsi naona wewe ndiye unapaswa kukamatwa na kushughulikiwa kwa kumwita Mdude mpumbavu.
Mdude ni boya.....anakimbiza tu "upepo"......

Yaani Amiri Jeshi Wa Majeshi ya ulinzi anayeheshimiwa na wenye nguvu....azodolewe na mtu Kama Mdude ?!!!🤣🤣

Huyo jamaa atakuwa si mzima UPSTAIRS .....
 
Mdude ni boya.....anakimbiza tu "upepo"......

Yaani Amiri Jeshi Wa Majeshi ya ulinzi anayeheshimiwa na wenye nguvu....azodolewe na mtu Kama Mdude ?!!!🤣🤣

Huyo jamaa atakuwa si mzima UPSTAIRS .....
Mdude siyo level za uvccm. Ndiyo maana unaona hajahangaika kujibu hizi childish comments ambazo mmekuwa mkizitapika mitandaoni. Anaongea na rais Mdude
 
Magufuli amewafanyia unyama watu wengi Sana ikiwemo kuwauwa kabisa. Lkn leo yuko wapi??

So hiyo isikutishe kutetea haki yako hata ikibidi kwa kumtukana mtawala. Akikuuwa potelea pweteee!
Mume wako anatakiwa atumie alkasusu kwa wingi sana,anaonekana ni mwepesi sana kwenye mechi,ili uwe na adabu ww unatakiwa upelekewe fire sana
 
Mdude siyo level za uvccm. Ndiyo maana unaona hajahangaika kujibu hizi childish comments ambazo mmekuwa mkizitapika mitandaoni. Anaongea na rais Mdude
🤣🤣Huyohuyo Rais anayemfanyia dharau ndiye aliyechagiza harakati za kuwatoa rumande....

Kwani angebaki hukohuko lupango ,Jua lingekataa kuchomokea mashariki?!!!
 
Magufuli amewafanyia unyama watu wengi Sana ikiwemo kuwauwa kabisa. Lkn leo yuko wapi??

So hiyo isikutishe kutetea haki yako hata ikibidi kwa kumtukana mtawala. Akikuuwa potelea pweteee!

Kwa magu mliufyata na hamkuthubutu kuongea ujinga...kwa huyu mama mnafanya mnavyotaka kwakua tu mwanamke na ni mpole, ana imani/huruma na mtenda haki.

Kati ya Magu na SSH ni nani raisi wa wanyonge na mpenda haki kama sio huyu mama!

Kuhusu katiba hata mimi naunga mkono ipitishwe haraka, but sio kutumia power na kumtolea kauli mbaya.
 
Back
Top Bottom