Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Screenshot_20210704-141014.png
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Bipi na matusi ya katambi
 
jingalao hivi usemi wa WEMBE NI ULEULE ni matusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unayasoma je haya?

View attachment 1841413
Usisahau wa kutuliza mat*ko alikuwa ni CCM. Hata wa kubakia na m@vi yao alikuwa CCM pia.

Au hayo yalikuwa sawa?
CCM wakifanya uhuni chama makini kama chadema hakitakiwi kuiga uhuni huo.

Wanapoiga uhuni huo ati kwa kuwa !CCM nao wanafanya maana yake mnatupa picha kwamba CCM ndio ma role modo wenu.

Akina mdude wanapokemewa juu ya kauli zao mbovu haimaanishi kwamba CCM hawafanyi,bi inamaanisha kwamba chadema wanatakiwa wawaoneshe CCM ustaarabu.

Mkienda hivi manake hata mkishika dola mkiwa mnaiba mali za umma na kufanya ufisadi kisha wananchi wakalalamika nadhani mtawapa kumbukumbu namna serikali iliyopita ya Ccm ilivyokuwa inafanya mambo hayo.

Hii ndo maana yake kwamba mkiingia madarakani na chadema nao watafanya ufisadi kama ule unaofanyika chini ya utawala wa ccm,kisha wakilalamikiwa atasema mbona wakati wa ccm ufisadi ikuwepo sana mlikuwa hamsemi.

Ndio maana nasema kwamba hawa wanaojiita wapinzani nao hawana lolote jipya zaidi ya kupigania matumbo yao tu na vielelezo ni vingi vyenye kuthibitisha haya ninayoyasema.

Mtu mwenye akili pana huwezi kumkuta upinzank wala ccm utamkuta akichambua hoja na kumili katika hoja za vyama vyote.
 
Tuambie hayo matusi vinginevyo ni yale yale ya Magufuli kwamba akikosolewa anadai ametukanwa. Nchi hii lazima tukubali kwamba tuna viongozi wanadamu na siyo malaika.
Ukosoaji unafanywa na Mdude pekee?
Mbona hata sisi tunakosoa?
Hata Kigogo anakosoa
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Matusi gani mkuu wangu? Mbona mnakuwa wajinga kuliko watanzania wa 1947? Duh! Ndiyo maana tulipelekwa utumwani.
 
Kwahiyo ccm ndio wana msamba mkubwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Astakafiru...!!!
CCM ni tembo na msamba wake ni wa tembo chadema ni bata mwenye msamba wa Tembo kwa sasa.
msirudie!!
 
Mashekhe wa Uamsho walisema hawatoshindana na mwenyenguvu, sijui kuna cha kujifunza kwa jemadari wetu Mdude au la.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Suluhu ya nini?
 
Suluhu katafute na familia yako, hapa tunajadili wananchi wote wa nchi hii kwa usawa bila kujali cheo cha mtu!

Nchi hii siyo ya kifalme na hakuna mwenye hati miliki ya nchi hii! Wote ni wananchi!
 
Hii ni reaction ya mbunge wa Sumve kuhusiana na kauli ya Mwanachadema aliyetoka lupango kwa huruma ya mama Samia .

Chadema na Mdude lazima waombe radhi ili kujisafisha.

Kauli hii ya Mdude imeharibu taswira ya nchi, Mahakama iliyompa ushindi, Hayati Magufuli, Rais Samia na CHADEMA.

Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia kama lilivyo jina lake ni kuwa na suluhu ya kitaifa ili nchi ipate maendeleo kusudiwa.
matusi yaliyotolewa dhidi yake na kiongozi mwandamizi wa vijana chadema ni matusi yanayoondoa dhamira njema ya SULUHU .
Mdude anapaswa kupingwa na wapenda demokrasia wote na awajibishwe kwa hili
Matusi yapi ? Unajua matusi wewe
 
Tatizo lenu ni kudhani "kwa vile CCM walifanya" basi ni sawia kwenu kufanya pia. Kwa maana hiyo ninyi hamna tofauti na CCM. Sasa kwanini Watanzania wapoteze muda nanyi msio tofauti na hao walio madarakani
Kwenye majukwaa ya siasa hiyo kauli ni ya kawaida sana mkuu
 
Back
Top Bottom