Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hatumpi umaarufu.nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli. Alitakiwa abaki lupango labda akili ingemkaa sawa. Shenzi sana ameniudhi.
Mechi ya Kigoma utakuwepo?
 
Hatumpi umaarufu.nimemsikia kwenye "clip " moja hivi akijitapa na kuwaambia watanzania mwambieni huyo mama yenu mimi sitishwi. Nikasema huyu jamaa pumbavu kweli. Alitakiwa abaki lupango labda akili ingemkaa sawa. Shenzi sana ameniudhi.
Huu uzi wako ni wa 79 hopely utaunganishwa maana northing new
 
Ukimtukana Mungu atakuhukumu atakavyopenda.... possibly huko mbinguni.....

Ukimtukana binadamu mwenye mamlaka basi ujiandae kwa vita katika maisha hayahaya.......
Matusi, matusi , matusi !!. AmemtukanaJe huyo mtawala ?!. Mbona tusi lenyewe halipo !
 
Aliyewafanyizia kina Mawazo, Saa 8, Gwanda, Tundu nk nk . Yuko wapi ?! 6ft under
 
Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.

Ufupi wa akili ni pale unapoacha kuongelea mambo, mipango na mipangilio au issues, unaanza kuongelea watu, tabia, personalities. Huko ni kukosa na kufilisika kichwani ba kisera.
Shida yenu, mnadanganywa na hao wanaowapa hela za misaada huko nje. Wee huwezi kumuongelea lugha ya kipumbavu mama mwenye staha, halafu sisi tunayemuheshimu na kumpenda tukakuchekea na kukenulia meno. Hivi unajua nafasi ya mama, au mwanamke kwenye jamii yetu sisi waAfrika? Mnaijua laana. Hivi unajua maana ya neno la kiswahili usije kosa radhi ya mama?Kuweni makini kuiga kila jambo. Tumekwazika sana tabia iliyoibuka ya kumsema mama wa watu bila staha.
Huyu mama hana baya hata moja alilowatendea. Lkn nyie mkiongozwa na mvuta bangi wenu, mnazunguka huku na huku kutukana. waTanzania wanaona. Na mjipange, mjichunguze na mjitathimini, vinginevyo mtakuwa vitu vya kupuuzwa tu.
 
Matusi, matusi , matusi !!. AmemtukanaJe huyo mtawala ?!. Mbona tusi lenyewe halipo !

Lugha ya dharau. Wee huwezi kumwambia mama mwenye rika lile "eti muambieni huyo mama yenu".
Hiyo lugha haifai kwa mwanamke mwenye umri mkubwa. Hiyo lugha labda uitumie kwa mkeo, maana huyo mnaendana umri. Lkn kwa mtu mzima. Hiyo mnachuma laana. Na kweli hiyo laana itawafuata na kuwaandama kokote mnakoelekea. Sisi bado ni waAfrika, tuna desturi zetu. Katika kuiga vitu ni jambo jema, lkn siyo kuiga kila kitu, hata kama kinaonekana wazi kabisa kinaenda kinyume kabisa na mila na desturi zetu.
 
Kusema wembe uliotumika kunyoleo utakua huo huo

Sasa hapo amekosaje adabu?

Ukiona hivyo basi ni wale waliokua wamempa jiwe uungu!

Sioni kosa lolote hapo la mdude kusema hivyo!

Na anavyosema kwa dharau "mwambieni huyo mama yenu"!!?
 
Kazi mmezoea kuishi kinafki tu

Endeleeni kumdanganya. Hata wale wa uamsho walikuwa hivi hivi, akili zilikuwa hazikai sawa. Sasa ona walivyotulia sasa. Huwezi kushinada na serikali ya nchi yako ukashinda. Tena bora mtu awe na akili za kina level ya Nyerere. Mtu kama mdude kichwani sifuri kabisa.
 
πŸ€” Mimi hata buku sijapata 😁
Bro ongelea issues, kama na wewe ni level ya reasoning ya kina mdude, niambie nikuweke kwenye trash list.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 

Provoke pumba. Wee
Kwa akili yako kuna point aliyoitoa inayoweza kusaidia nchi ipige hatua? Hana point yoyote, zaidi ya kuongelea personalities tu. Akili yake ni ndogo!!!
 
Wewe unasema huku umejificha na I'd feki jitokeze hadharani ubwabwaje maneno yako ili tukuone kuwa wewe sio mnafiki

🀣🀣🀣
Sisi wote humu JF hatunaga tofauti na kigogo.
 
Matoto mengi kwenye huu uzi hayana wazazi wa kike.
 
Wala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Watu wanajitoa ufahamu tu. Mbona hawaku uuliza Capt. Komba alimaanisha ninialipoima wimbo wa "Wembe ni uleulu ushindi halafu kibwagizo kikisema, " wapinzani tuwachinje, tuwachanechane tuwatupe!" Sikuona mtu yeyo te akishtuka na kuhoji! Hivyo wembe ni uleule. Una pande mbili. Kwa Ccm na kwa wapinzani! Ni vizuri kuelewa kuwa lugha ya kipropaganda ni tofauti na ligha ya kawaida ya kila siku. Kwani wembe ni nini? Unadhani nyagali atanunua wembe wa aina ya rungu na kumkatakata raisi? Kwani Mdude alimkatakata mwendazake na wembe upi? Mdude alikuwa tishio lolote kwa mwendazake ili sasa tuogope? Hakuna haja ya kulikuza sana jambo hilo mpaka kwa wenye busara linakosa mantiki!
 
Kwahiyo mdude alimnyoa wapi magufuli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…