Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Yaaaaniii, kila aina ya upotoshwaji hamtafanikiwaaa. Hapa napo mtatoka patupuMajina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Kwa hiyo kuupinga mkataba ni uhaini?Kwani kuna Muislam gani prominent aliyeupinga mkataba!? Jiulize kwanza.
Hata Pengo anasakwa kwa taarifa tu.
Kwani ulikuwa wapi yule Sheikh aliyetishia kuwasomea kunuti waislamu watakaohudhuria mkutano wa Chadema Temeke?Mmeanza kuingiza mambo ya udini
Wamelikanyaga kumkamata Slaa!!!Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Ungeweka na ushaidi wa majina ya waliokamatwa ili tuhakikishe kwanza kabra hatuja komentMajina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Jibu swali lake, usijizungushe.Nilijua mapema tu kuwa nia yenu si kupinga bandari kama bandari bali mna lenu tu, nalo ni chuki dhidi ya dini ya anayeongoza nchi sasa! Taratiiibu unafiki unakaa pembeni, ukweli unajidhihirisha.
Bahati mzuri kinara wa ukamati Wambura ni Mgalatia pamoja na DPP wake.Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Awamu hii mambo ya udini yameingia sana kuliko hata kipindi cha JK, ila naona watawala wanayapuuza.Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Mhh! Huku tunakoelekea huku, kitaeleweka tu siku za usoni.Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Ni kwema mbeleni.Mhh! Huku tunakoelekea huku, kitaeleweka tu.
we hujui rais akiwa muislam wakristo wanavyosumbuaga? wadini sana hao wajamaa, mi mkristo lakini sipendi maubaguzi ya kijinga. Mbona wenzetu rais akiwa mkristo hawasumbui, hawafanyi vioja? Wakati wa Magufuli ni muislam gani alikuwa anaeneza maujinga km hao wajamaa. Kwanza ni wanafki hata huo ukristo wenyewe ni wa maslahi tu, wengi wao ni washirikina tu wala hawamtegemei wala kumcha Mungu. Issue ya bandari inaiumiza sana kichwa kanisa wamezoea magendo, huwa hawalipiagi bandarini. Ni wezi wa kodi za serikali, Mama Samia kazi iendee hao ni majambazi tu tumeshayatambua. Wamejaa ubaguzi, chuki, uzushi, uwongo, upotoshaji, uchochezi na uhaini. Washughulikiwe ipasavyo hakuna ukristo hapo.Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
According to CCM na Mapolisi yao ndo hivyo..Kwa hiyo kuupinga mkataba ni uhaini?
hamna lolote siyo mara ya kwanza kukamatwa, hakuna mtu yuko juu ya sheria au juu ya vyombo vya dola nchi hii, hakunaWamelikanyaga kumkamata Slaa!!!