Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Hao ni wapuuzi, mind zao ni za kimaskini sana.
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Huna akili, ila una makalio mazuri
 
Tatizo bila kufanya hivyo tungeishiwa kuolewa tu kama nyie!! Yaani soooote tungekuwa miupinde, hilo haliwezekani. Ubinadamu lazima usimame!
Alaah, unakiri huu ukatili wa mama yenu kumbe amefundishwa kwenye dini yenu!
 
Huko sipo, naiogopa serikali na kuvunja sheria za nchi. Sitaki kujiingiza kwenye maneno ya uchochezi.

Tujadiliane kwa staha. Tusianze kuparurana, hautoweza.
"Staha" mtu anakudunga kisu shingoni huku anakuambia ulie kwa staha! Go to hell! you devil
 
Taja waislamu waliopinga ambao hawajakamatwa ili na wao tuwaendee.Nadhani tangu mwanzo wakristo waljipinga kwa udini na huu ni uchochezi.Mkipinga mupinge kiuhalisia wa kupinga sio kuleta udini katika uchumi wa nchi.
Kina Adv. Mwabukusi na Dr. Slaa kwenye hoja zao waliwahi kuweka suala la dini pale? Usilete habari ya kudhani hapa.
 
Tatizo bila kufanya hivyo tungeishiwa kuolewa tu kama nyie!! Yaani soooote tungekuwa miupinde, hilo haliwezekani. Ubinadamu lazima usimame!
Hivi wewe unaweza kweli kusema Ulaya kuna ufirauni kuliko uarabuni? Unatania wewe. Ulaya ni wawazi tu hawafichi. Lakini asilimia kubwa ya waislam ni mafirauni. Zanzibar huko wanabanduana mno.
 
Nawaasa wasema hovyo, msidhani wala msifikiri kuwa jela hazitoshi.

Uingereza walipokuwa wanaiweka nchi yao sawa, jela zilipokuwa hazitoshi, walienda wakawabwaga wafungwa Australia, wakawaambia, haya anzisheni makazi hapa, wakapewa na ngamia kama usafiri wao.

Tanzania visiwa vingi sana, Kumbukeni hilo.
 
Huko sipo, naiogopa serikali na kuvunja sheria za nchi. Sitaki kujiingiza kwenye maneno ya uchochezi.

Tujadiliane kwa staha. Tusianze kuparurana, hautoweza.
Nasikia kule Kibiti mambo ni bam bam,Hongereni sana!
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Siyo turufu hiyo, tuoneshe Muislam mmoja aliyesema hovyo bila heshima.
 
Mpuuzi kweli. Msema hovyo ni yule anayetoa majibu ya kijinga kwenye maswali ya msingi anayoulizwa.
 
Nasikia kule Kibiti mambo ni bam bam,Hongereni sana!
Wala usijali, majeshi ya Tanzania yapo imara.

Kama mlidhani kibiti ndiyo turufu, ngoja tuwashughulikie wanaoianzisha kibiti. Majibu yatapatikana.
 
Kwahiyo na wewe unataka upelekwe Uingeleza au Australia?
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Sababu kuna billions wanadai za msamaha au kwa mgongo wa kanisa vinapita bila kodi ... Akija DP world hizo none sense hana ..nilipe changu otherwise thibitisho utahitajika for now kanisa linatumika kupiga deal bandarini na viongozi wa kikristo wanaopiga kelele ni wafaidika wa hiyo mirija...

Dr slaa anatumia mgongo wa ccbrt
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Rais sio tu mwislamu bali mwenye siasa kali za kiislamu, nchi anaenda kuipasua vipande vipande. Mtu dhaifu hafai kuwa rais
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
ni Chadema kwan chadema ni cha Waislam. Hicho ni cha Ma padre na wachungaji kwani hukuona kwenye kikao chao Dar es Salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…