Imenishangaza sana, bado tunaendelea kupitia na kuchambua ripoti ya haki jinai! Leo tena tunasikia haya?DPP anayo nafasi ya kujiepusha na kikombe hiki kwa kuikataa hii hati ya mashitaka.
Ila kama ni network moja na mfumo mmoja, namuonea huruma Mama Samia anaingizwa chaka na anayengewa chini hadi kwa tuliomuunga mkono.
Hata ile tume ya haki jinai haijamaliza kazi Polisi wanaleta huu upumbavu, mama asikubali kuingiziwa huu mkenge na Polisi waliokosa elimu.
Wapo akina Mcghee na akina Hanspope mbona hawakunyongwa na baadae Mwinyi aliwaachilia huru'Adhabu ya kosa hilo ni KIFO' na malaika mshikaroho ni Chief Hangaya sasa itakuaje?
hukuwasikia wakichochea chuki, uhasama, ubaguzi, wakitishia kumwondoa rais kwa njia haramu? Wameundiwa au wamejiundia. Nilishawaambia hakuna jitu pumbavu km Mwabukusi, yule inawezekana siyo raia anataka kutuharibia nchi yetu. Akafie huko gerezani, lofa kabisakuwaundia watu kesi za kubumba?
Kwa hiyo ukachukia baada ya kuchochewa?hukuwasikia wakichochea chuki, uhasama, ubaguzi, wakitishia kumwondoa rais kwa njia haramu? Wameundiwa au wamejiundia. Nilishawaambia hakuna jitu pumbavu km Mwabukusi, yule inawezekana siyo raia anataka kutuharibia nchi yetu. Akafie huko gerezani, lofa kabisa
Ndio nomekwambia 'Chief Hangaya' ndio mshikarohoWapo akina Mcghee na akina Hanspope mbona hawakunyongwa na baadae Mwinyi aliwaachilia huru
we ndio pumbavu lisilojitambua, we umejitosheleza kwenu? ungejitosheleza kwa matusi na lugha za kichochezi, kibaguzi, zenye kujenga chuki za wale malofa? Kenge lisilo na haya weweWajinga kama wewe hawakosekani kwenye jamii yoyote.
Halafu unakuta taahira kama huyu familia yake tu hata vitu basics kama bima ya afya hawana lakini kazi kuikatikia mauno Ccm tu.
Kuulizia hatma ya bandari si kesi ipo mahakamani sasa kupindua nchi kumeingiaje hapo?Wamechezea dola au wanauliza kuhusu Hatima ya Bandari ya Taifa?
Umeshahi kula makofi ya sura mpaka ukapoteza kumbumbukuApigwe nduli Mwabukusi.
Mpumbavu baba yako mzazi kwa kutojari matumizi ya condom, angetumia condom dunia isingeletewa kiumbe aliyelaaniwa kwa wewe mbwa kabisa.TLS siyo wapumbavu km nyie
hujui maana ya uhaini, rudi darasani
Nani ametaka kupingua Nchi?Kuulizia hatma ya bandari si kesi ipo mahakamani sasa kupindua nchi kumeingiaje hapo?
Kabla ya HUKUMU lazima mshtaki athibitishie mahakama uhaini wa washtakiwa.Hakuna dhamana na hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa!
Blood diamond movie!
Sent using Jamii Forums mobile app
we ndio hutakiwa kuzaliwa, nashangaa kwanini babako hakuvaa condom, mbwa we. Mtakufa na sonona wapumbavu nyieMpumbavu baba yako mzazi kwa kutojari matumizi ya condom, angetumia condom dunia isingeletewa kumbe aliyelaaniwa kwa wewe mbwa kabisa.
We nawe akili NDOGO kumbe tafakari kwanza kabla ya kuandika,Yana mwisho haya.
Mbowe kesi ya Ugaidi, Mwabukusi Uhaini.
TLS iko kimya, kuna faida gani ya kuwepo TLS?
Ndio kila mtu anashangaa......yaani Tuhuma zilianza mwanzo kabla watu hawajatenda kosa😅😅 kutoka bandari hadi Uhaini.Kuulizia hatma ya bandari si kesi ipo mahakamani sasa kupindua nchi kumeingiaje hapo?
Duuuhwe ndio hutakiwa kuzaliwa, nashangaa kwanini babako hakuvaa condom, mbwa we. Mtakufa na sonona wapumbavu nyie