Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Your browser is not able to display this video.

Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
 
Huyo mdude kammiss basha wake jela arudishwe haraka
 
Samia anatakiwa kutuelewa, mkataba wa DPW haufai ni mbovu, kiburi chake cha kujinga kuwapa zawadi waovu wanaotetea ule mkataba hakiwezi kutukatisha tamaa, kinatushangaza tu tulivyo na kiongozi juha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…