Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba
Karibu bongo nchi yenye wana harakati wa kisiasa wasio na uwezo wa kumiliki hata kifaru kimoja🤣🤣
 
...waanze kuandamana na familia zao hao wanafiki kama Wakikamatwa tutaandamana.
 
Hakuna sisimizi yeyote kati ya hawa Mdude, Slaa au Mwabukusi ambaye anaweza kuanzisha maandamano.

Watu wako na mishe zao za kutafuta fedha, waache waje waunge hawa malaya wa kisiasa. !! Nani anamuamini Slaa sasa hivi? Mtu ambaye kakataliwa mpaka na familia yake na chama chake.
Nikuulize ndugu mfia CCM... Kwann mnaogopa watu wakiandamana? Kwan mkiweka ulinz raia waandamane ni kosa kisheria? Nn hasa mnaogopa?
 
Badala ya kuandamana wangeenda tu milembe. Hicho ni kikundi cha wahuni wanaosumbuliwa na stress tu!

Hivi yale maandamano ya Diaspora aliyoitisha yaliishia wapi?
 
Cheki CCM watakavyoanza kuogopa. Ukicheki mambo yanavyoenda maandamano yatafanikiwa. Mwanzo yataanza na watu kidogo lakini hadi ifike uchaguzi wananchi watakuwa wamepata ari kuingia barabarani. Mtu mwenye akili hawezi kupuuza hili jambo japo kiuhalisia halikwepeki.
 
Hii ndiyo iliyo picha kamili yenye kuonyesha kukata tamaa:



Hayuko peke yake Kamanda huyu.

Hii nchi si mali binafsi ya mtu wala chama chochote.

"Kinachogomba hapa ni IGA na katiba mpya."

Kulikoni handshake kama ya Kenya isitufae sisi tukaondoa kistaarabu machungu haya kwa watu?

Eeh Mola wetu hebu ukatujalie subira sisi na pia washauri wote wa mkuu wetu.

"Wanachoomba watu hawa si shari, bali maridhiano ya dhati tu."

Kwa hakika, pamoja tutafika.
 
Hii nchi inaenda kutoka mikononi mwa wajinga wa sampuli yako, wale waliokata tamaa, wasiojiweza kwa lolote, ila wana midomo mirefu tu ya kupuuza movement za wengine.

Wanaume wakiwa wanazungumza usipende kujichekelesha mbele yao.
Kwani Mdude ni mwanaume? Au kwa vile amevaa suruali? Huyo alishaolewa akiwa jela na manyampala kipindi cha Mwendazake na ndiyo yamemharibu akili!!
 
Sielewi Dr Slaa na Mwambukusi wanamuamini vp huyu jamaa anaonekana kapagawa tu.
Ni kumuacha tu akaandamane na mkewe
 
Back
Top Bottom