babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kuna bwege mmoja alijitokeza peke yake kuandamanaTusije tukawa peke yetu tu! watu 8 Kama siku ile posta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna bwege mmoja alijitokeza peke yake kuandamanaTusije tukawa peke yetu tu! watu 8 Kama siku ile posta
I mean this time toka alivokamatwa then kuachiwa na kurudi kukamia kama hakijatokea kitu means kishakua recruited Ili Kuna watu wanatafutwa yeye anatumika tu Sasa hivi. Time will tell.Kwanini mkuu
MAPUMBAVU HAYA YALIYOKOSA KAZI ZA KUFANYA SHENZI TYPE. /
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Wajinga kama hawa nyumbani kwao ni LUPANGO TU, HAWADANGANYIKI WATU.Piga spana Mdude CCM wanaitaji watu jeuri kina Mdude
In short anaongea ujingaaaaa!
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Ujasiri, ujinga!Mdude ni jasiri kwelikweli.

"Watazungumza na viongozi wote wa dini wawaambie waumini wao kwenye makanisa.......".
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Yeye ndiye mke, anaolewa na nyamplaSielewi Dr Slaa na Mwambukusi wanamuamini vp huyu jamaa anaonekana kapagawa tu.
Ni kumuacha tu akaandamane na mkewe
Na ni machachari kweli kweli.Mdude ni jasiri kwelikweli.
Tunatarajia Mdude ataongoza haya maandamano. Sisi tunasubiri aongoze ili tuungane naye. Shime Mdude usikose kwenye hili. Kituo cha kuanzia ni kipi?
Mkuu ni sawa. Natarajia Mdude ashiriki ili aone ni kwa namna gani wananchi wanaungana naye. Kutokushiriki kwake kutapelekea maswali mengi dhidi yake. Vipi akae nyumbani huku sisi tunaandamana! Huku kwetu huwa tunasema "shikeshike na mwenyewe nyuma". Nawe kwenye hili nakushauri pia.Maandamano amani ni haki kwa mujibu wa Katiba. Atakuwa mwenda wazimu atakayepanga kuyazuia kinyume na katiba.
Kamanda Mdude hata kama hatayaongoza wapiganaji mbona wapo lukuki?
Wanasema wavumao baharini ni papa ..
Mdude ni jasiri kwelikweli.
Hata mimi nitatoka.
Tunahesabu kufika leo bado siku 27 tuone huyu MPUMBAVU mvuta bangi atafanya nini!!
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Ujasiri wa kumwamini Mbatia wanautoa wapi??
Mkuu ni sawa. Natarajia Mdude ashiriki ili aone ni kwa namna gani wananchi wanaungana naye. Kutokushiriki kwake kutapelekea maswali mengi dhidi yake. Vipi akae nyumbani huku sisi tunaandamana! Huku kwetu huwa tunasema "shikeshike na mwenyewe nyuma". Nawe kwenye hili nakushauri pia.
Kuna mtu kanufafanua huyu jamaa nadhani hayuko mbali na hali halisi alivyomuelezea