Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app