Familia na ukoo wake labdaNgoja tuone hao wananchi wanaoandaliwa na Mdude ni wa Kenya au Wa Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia na ukoo wake labdaNgoja tuone hao wananchi wanaoandaliwa na Mdude ni wa Kenya au Wa Tanzania!
KabisaHuyu ndugu alishaathirika kisaikology! Anahitaji cancelling ya nguvu!
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
[emoji23][emoji23]Siku hiyo utoke front
Sio ujifungie ndani na mkeo.
Mdude ni jasiri kwelikweli.
Uzuri ni kuwa hizi ni jitihada za ukombozi na si kwa maslahi binafsi.
Kufika leo zimebakia siku 24. Nataka nione haws MABAZAZI 3 watakuja na nyimbo ganiMaandamano amani ni haki kwa mujibu wa Katiba. Atakuwa mwenda wazimu atakayepanga kuyazuia kinyume na katiba.
Kamanda Mdude hata kama hatayaongoza wapiganaji mbona wapo lukuki?
Wanasema wavumao baharini ni papa ..
Kufika leo zimebakia siku 24. Nataka nione haws MABAZAZI 3 watakuja na nyimbo gani
Hata akiwa freed kesho atakuwa Kanye ndoo siku moja.

Hivi kwanini serikali ya CCM wanakazana kuuza nchi kwa warabu bila kusikiliza kilio na maoni ya wazalendo? Ni lini hasa washenzy hawa wataacha kutapanya rasilimali za watanzania?
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Aliye juu ya Serikali ni Mungu tu na siyo mudude maana mudude siyo Mungu.
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Kwa hiyo Lissu ndiyo Mandela wenu?Alinyea ndoo Mandela miaka 28+. Una nini zaidi yake ndugu?
Kwa hiyo Lissu ndiyo Mandela wenu?
Ataandamana na mkewe na watoto kama ameoa
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Ataandamana na mkewe na watoto kama ameoa
Nyooooo!Lazima nitoke kukukomboa msukule wa Samia.
Unaandamana kwenye keyboard tu wewe.Unaonekana kuchafukwa kulikoni ndugu?
Tupo wengi sana tutakaoandamana naye. Mkewe na watoto hatuwahitaji. Hadi hapo unasema je, ndugu?