Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Masikini ufipa😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini ufipa😁
hata hii miaka 30 kabla ya maandamano utaambiwa imekuwa mitano .[emoji1787]Hatimaye serikali imetii na kuondoa kilichoitwa milele , hata hii miaka 30 kabla ya maandamano utaambiwa imekuwa mitano .
Nguvu ya umma
Bangi zinasingiziwa tu , nafikiri matumizi mabaya ya bangi na tatizo la afya ya akili inapelekea mwananchi mmoja kutoka mbeya kuiamuru serikali iache majukumu yake ya kawaida.
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.
Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Kwishney😁
Kwani saa hizi ni saa za kulala; mbona wewe uko macho?😁
Unajua niko wapi?Kwani saa hizi ni saa za kulala; mbona wewe uko macho?[emoji16]
Sijui na sitaki kujua😁
Ukiona mtumzima anaandika hoja kama hii ni wa kumuepuka maana hana tofauti na mwendawazimu. Hivi unafikiri kama kweli jambo hilo lilifanywa, waliofanya wako timamu? Na kama walitumwa na serikali yenu kufanya hivyo hiyo serikali inaweza kuwa na baraka za Mungu? Wakati mwingine muende kwenye vioo na kujiangalia huku mkijiuliza jee mimi ni mtu au nyani? Mbona nina fikra kama mnyama?Mdude hana cha kupoteza baada yabkupoteza marinda. Waache waendelee kumfuata