Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba
Samia anatakiwa kutuelewa, mkataba wa DPW haufai ni mbovu, kiburi chake cha kujinga kuwapa zawadi waovu wanaotetea ule mkataba hakiwezi kutukatisha tamaa, kinatushangaza tu tulivyo na kiongozi juha.
huu mkataba utakusaidi kupata mitumba yako haraka zaidi ya sasa
 
Mbona bara tu ndo kuna kelele hizi za mkataba mbona zenji bandari wamepewa wafaransa(AGL) na hakuna kelele hizi

Naimani kua wanopiga kelele wameguswa kimaslahi kutokana na uwekezaji huu
 
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Bado siku 10 tumuone huyu hayawani akianzisha maandamano. Namkumbusha tu
 
Sasa amebadili kauli. Anasema Tulia anapanga kumuua
Screenshot_20230925_222159_Parallel Space.jpg
 
Siku ya maandamano yeye, slaa na mbatia wakae mstari wa mbele, tuone huo ujasiri wao na uchungu kwa taifa.

Nitawashangaa watakao andamana, ilhali waliowatuma wapo manyumbani mwao na familia zao wanakula bata, wewe hata ufe hawatakuja kuchukua maiti yako.

Hawa ndio wa kupewa nchi kweli!! Kauli zao tu zinaleta ukakasi wataweza kweli kutuongoza!! Amani itakuwepo kweli!!

Hivi huyu mdude ni kabila gani? Ni mtu wa wapi?? Slaa anajulikana ni mtu wa kaskazini kwa wachagga, mbatia ni wa huko huko uchagani, je mdude ni wawapi?
Slaa sio mchaga ni mmbulu, Mdude ni mtu wa Mbeya
 
"Watazungumza na viongozi wote wa dini wawaambie waumini wao kwenye makanisa.......".
Mdude kachanganyikiwa.Kasahau kuwa waislamu hatuingii makanisani.Hatatupata kabisa. Nakusudia hana diplomasia ya kukushanya watu wafanye analolipendelea. Si mwanasiasa kabisa. Sasa watu wakishaandamana wakamuondoa raisi wataongozwa na nani.Yeye au Dr Slaa. Hawawezi kabisa.
Slaa Rais, Mdude Waziri Mkuu, Mwabukusi Makamu... Muungano tunauvunja
 
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Kupata vichekesho vingine kama hivi bonyeza sifuri.
 
Samia anatakiwa kutuelewa, mkataba wa DPW haufai ni mbovu, kiburi chake cha kujinga kuwapa zawadi waovu wanaotetea ule mkataba hakiwezi kutukatisha tamaa, kinatushangaza tu tulivyo na kiongozi juha.
We wa hovyo sana, kwa nini una generalise, we unadhani kila mtu anashikiwa akili na watu wenye kichaa kama nyie machadema, akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
 
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Siku 30 zinaisha tarehe 5 Oktoba 2023 kuanzia tarehe 6 Oktoba 2023 na kuendelea tutarajie nini?

Je, serikali hii itavumilia watu kuingia barabarani kuilazimisha itamke hadharani na kwa utaratibu wa kisheria kwamba imefuta mktaba na DP World?

Tusubirie panapo majaliwa yana matokeo ya majuto na furaha
 
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Haya mapimbi yako wapi sasa? Si yalisema yanaipa Serikali siku 30 la sivyo yanaitisha maandamano?

Kweli Dr Slaa na Maabukusi ndiyo wa kushikiwa akili na mwehu Mdude? Pumbavu sana
 
Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima.

Maandamano yatakayokuwa ya mfano, yatakoandikwa kwenye historia, maandamano ambayo yatashirikisha watu wa vyama vyote na dini zote nchi nzima, kufanya maandamano halali ya amani ya kupigania taifa hili.
Huwa nawashangaa sawa kuna Watanzania wanashikiwa akili na mdude.
 
Back
Top Bottom