Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Ukiulizwa nini ambacho ulitaka kifanyike ndani ya hii miaka mitano na hakikufanyika, hautakuwa na jibu zuri zaidi ya kusema unataka demokrasia.
Hakuna MKULIMA, mfanyakazi, mfanyabiashara, msataaf au MWANAFUNZI anayeweza kuipigia kura ccm...

Sasa miaka mitano mmeendeleza wapi? Chato?
 
Kawe waislamu ni 85% ambao wote hawatampigia kura kwa sababu ya udini wake...
Upotoshaji huo, mbona Kuna wajumbe waislamu walimpigia Kura. Mkisema muweke udini haitasaidia chochote au muunde chama muweke mgombea wa kiislamu ili mumchague, hivo hivo kwa uraisi
 
Upotoshaji huo, mbona Kuna wajumbe waislamu walimpigia Kura. Mkisema muweke udini haitasaidia chochote au muunde chama muweke mgombea wa kiislamu ili mumchague, hivo hivo kwa uraisi
Tulia mkuu sisi ndio wataalamu..

Kawe waislamu ni 85% ambao wote hawatampigia kura kwa sababu ya udini wake
 
Kusema kw

Kusema kweli 'wateja' wake ni watu wenye wakati mgumu ktk maisha na wanaotaka short cut ya maisha na bado anawakamua hawa hawa bila huruma. na wengi wanatoka kweli ktk makazi duni.
Hawa jamaa nimashetani kabisa, namfahamu mama mmoja alikua nimuathirika alikuaanaenda kwa mzee waupako kuombewa apone ukimwi,
Yule mama alikua anashinda Njaa iliapate nauli nahela ya sadaka kwendea kanisani kwake kuombowe. Aliaminishwa atapona kwa maombi alijinyima sana mpaka week ambayo anafariki alienda kwa hao matapeli kuwachangia sadaka
 
Tulia mkuu sisi ndio wataalamu..

Kawe waislamu ni 85% ambao wote hawatampigia kura kwa sababu ya udini wake
Hizo takwimu sijui umepata wapi. Sasa kwa taarifa yako asilimia 75 ya watanzania Ni wakristo na wote watampigia magufuli Kura, na nyie asilimia 25 mumpigie lipumba
 
Hacha kuchukulia poa watu wa charambe chamanzi yote nao wanamijengo km ya mbezi na wanamaisha safi
Yawezekana nisieleweke vyema katika hili ila wale mnao mweleza Gwajima kuwa atachaguliwa na waumini wake kwa hivyo atashinda mnamdanganya.

HAKUNA muumini anae ishi maeneo Mikocheni Masaki Mikocheni anasali kanisa la la Gwajima, waumini wa makanisa haya ni wakazi wa Mbagala rangi TATU,Chalambe na Majimatitu na wote ni wakazi wa WILAYA moja anayoongoza Godwini Gondwe.

Kwa maana hiyo Gwajima angeshinda kama angepitishwa Temeke
 
Kusema kw

Kusema kweli 'wateja' wake ni watu wenye wakati mgumu ktk maisha na wanaotaka short cut ya maisha na bado anawakamua hawa hawa bila huruma. na wengi wanatoka kweli ktk makazi duni.
Chamanzi yote wangi wao wanamakazi yao
Ungesema kawe au kwa Tumbo ambapo kuna wapangaji wengi na Sinza
 
Wewe umeshajitabilia utakufa lini? Muulize marehemu sheikh Yahya Hussein , aliwatabiria watakaogombea uraia kumpinga Rais kikwete awamu yake ya mwisho kuwa watakufa , hawakufa akafa yeye.
 
Saikolojia ya wapiga kura imbedilika kwa 180° kutoka kusikiliza Maneno matupu kwenda kuona anayesema ametenda au amewahi kutenda nini.

Haya ni matokeo ya ukimya wa kisiasa miaka 5.

Sina wasiwasi wapinzani wao watashinda kwa matendo mema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Wao watashindwa kwa Maneno mengi mazuri ambayo sio hitaji LA watanzania kwa jinsi walivyotengenezwa miaka 5 iliyopita.

Upepo huu utapita had I kwa mgombea yoyote wa upinzani ktk kiti cha urais.

Wafuasi wekeni Akiba ya hisia ili msijezirai kwa mishtuko ya matokeo ambayo mngeelewa utabiri wangu angalau mngeishia kuumwa kichwa tu.
ficha ujinga wako jiwe wee
 
Yawezekana nisieleweke vyema katika hili ila wale mnao mweleza Gwajima kuwa atachaguliwa na waumini wake kwa hivyo atashinda mnamdanganya.

HAKUNA muumini anae ishi maeneo Mikocheni Masaki Mikocheni anasali kanisa la la Gwajima, waumini wa makanisa haya ni wakazi wa Mbagala rangi TATU,Chalambe na Majimatitu na wote ni wakazi wa WILAYA moja anayoongoza Godwini Gondwe.

Kwa maana hiyo Gwajima angeshinda kama angepitishwa Temeke
Lakini atambue kuwa waumini huenda kutafuta amani ya Kimungu tu na pia afahamu kuwa waumini wake ni wafuasi wa vyama vingine so mwamvuli wa waumini si kigezo Cha yeye kushinda.Ajiandae kugaragazwa hata angegombea Temeke.
 
Hao wote uliwataja watashindwa wanauwezo wa kula na kwenda haja kubwa na familia zao mpaka mwisho wa dunia, kusome watoto popote ulimwenguni, wewe wakishindwa ama wakishinda itakusaidia nini? pambana tafuta pesa acha kutabiri maisha ya watu na wakati familia mzima mpo kwa shemeji yako
Punguza hasira, ila ni vizuri umemuelewa mleta uzi.
 
Back
Top Bottom