zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Siwezi chagua Mcheza picha za Uchi Jimboni kwangu Kawe!
Kwaiyo unachagua Mkoboaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi chagua Mcheza picha za Uchi Jimboni kwangu Kawe!
Hata Kimei naye ana ushawishi mkubwa hasa Vunjo Mashariki...Mbatia atapata ushindi wa kishindo. Kimei maisha yake yote alikuwa buisy DSM akiwa mkurugenzi mkuu wa benki ya crdb. Wanavunjo wanamjua Mbatia tu na Lyatonga Mrema.
Huyo gwajima ni dada poa,yani mlaini mlenda haufikiiChadema wakitaka siasa chafu na gwajima wataumia
Kikwete hakupigwa mawe Mbeya Ila Chunya. Au mwenzangu umeshindwa kung'amua kuwa msingi wa post hii ni Jimbo la Mbeya. Chunya huko ni ngome ya CCM.Mbeya ya wapi mkuu unayo izungumzia? kikwete amewahi pigwa mawe na wana mbeya, kuna mkuu wa wilaya juzi apa alinyeshewa mvua ya mawe, je ni mbeya ipi unayoizungimzia?
Gwajima hana uwezo wa kupambana na Chadema , hata yeye anajua , ajaribu tumvue nguo .Chadema wakitaka siasa chafu na gwajima wataumia
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
ARUSHA IPI MBONA UNAKUA SI MKWELI MKUU GAMBO KASHINDA KWA FEDHA HAMUWEZI LEMAKarata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
Una uhakikaPesa za kawaida
Hakuna mechi kalii Chadema watashinda majimbo mengi sana ccm mwaka huu wanapigwa chini nchi mzima kwasabau ya sera mbaya za uchumi1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Naungana na wewe!Karata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
1. Heche1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Lema hana mpinzaniMaskini Lema, sa itakuaje?
Mahaba niue, realistically expect opposite results.Huyo Gwaji atakalishwa mbona.
Sugu atapata ushindi saa nne mapema kabisa.
Let us bet..hakuna haja ya maneno mengi.Lema hana mpinzani
Ok. Taja dauLet us bet..hakuna haja ya maneno mengi.
200,000 tuOk. Taja dau