Hapana timu inayoweza kutumia nafasi chache ndio ya kuigopa hiyo, kutengeneza nafasi ni ishu moja na kutumia nafasi ni ishu nyingine. Hadi pale itakavyoweza kuitumia nafasi ipasavyoTimu yenye uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi ni ya kuiogopa, saa yoyote chochote kinatokea.
H2H huwa inahesabiwa mechi 5 za mwisho timu zilipokutana.Kwani kwa kawaida H2H inaanza kuhesabiwa tokea wapi hadi wapi?
Mimi nachojua H2H inaanza kuhesabiwa tokea mara ya mwisho kukutana kurudi chini. Ukitafuta head 2 head za Al Ahly vs Memolod utaona wanaanza kuhesabia game yao ya mwisho kisha ndipo wanarudi nyuma.
H2H huwa inahesabiwa mechi 5 za mwisho timu zilipokutan
Tatizo mkishahemka humu huwa mnatelekeza post zenu.Yanga hatunaga dogo
Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya
Mamelodi Sundowns wajipange,
Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea
Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu
Twende kazi
View attachment 2944467
Magoli yanatokana na nafasi. Timu kama inatengeneza nafasi chache inamaana mpinzani wake si dhaifu au yeye ni dhaifu.Hapana timu inayoweza kutumia nafasi chache ndio ya kuigopa hiyo, kutengeneza nafasi ni ishu moja na kutumia nafasi ni ishu nyingine. Hadi pale itakavyoweza kuitumia nafasi ipasavyo
Sawa, mwisho wa maneno ni baada ya mechiYanga hatunaga dogo
Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya
Mamelodi Sundowns wajipange,
Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea
Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu
Twende kazi
View attachment 2944467
Okay tumetunza risiti...Game hii mamelodi anakufa sio chini ya chuma 3 save hii coment
Vipi kuhusu timu inayotengeneza nafasi nyingi na mwisho wa siku hazitumiki ipasavyo?Magoli yanatokana na nafasi. Timu kama inatengeneza nafasi chache inamaana mpinzani wake si dhaifu au yeye ni dhaifu.
Imagine unashangilia timu ambayo inakoswa koswa dk 90. Unakuwa kwenye hali gani?Vipi kuhusu timu inayotengeneza nafasi nyingi na mwisho wa siku hazitumiki ipasavyo?
Imagine unashangilia timu ambayo ina tengeneza nafasi 10 za magoli na big chances 5 lakini mwisho wa siku mpira unaisha imetoka suluhu je unajisikiaje?Imagine unashangilia timu ambayo inakoswa koswa dk 90. Unakuwa kwenye hali gani?
Hiyo al ahly na Simba ni mechi ya kiande na mbabe.Africa hii mbabe wa soka ni nani?
Na anacheza lini?
Afrika hii ni timu gani ambayo katika mechi zote za CAF champion league waliyocheza dhidi ya Al Ahly hajapatikana mbabe?
Simba na Al Ahly wamekutana mara 8
Simba kashinda mechi 3, Al Ahly kashinda mechi 3, mechi 2 zimeenda sare.
Huyo ndio bingwa wa Africa dhidi ya Simba.
Mamelody kakutana na Al Ahly mara 14, kafa mara 5 kasare mara 5 na hizo 4 ndio ushindi wake.
Sasa mpaka hapo ukiambiwa utaje Derby ya Afrika kwenye CAF champion league utataja Al Ahly na timu gani tofauti na Simba?
Kama ni lazima uchague suluhu ya kukoswa koswa na suluhu ya kukosa utachagua kuwa shabiki wa timu ipi?Imagine unashangilia timu ambayo ina tengeneza nafasi 10 za magoli na big chances 5 lakini mwisho wa siku mpira unaisha imetoka suluhu je unajisikiaje?
Tufanye timu yako A halafu mimi timu B. Mimi timu nayoshangilia inakoswa koswa magoli dakika 90 ila nimeishia kukoswa koswa tu lakini mwenzio timu yangu umepata nafasi moja na hiyo hiyo imekuwa goli. Je yupi atakayeondoka anafuraha kati ya aliyekoswa koswa dakika zote 90 akapata chance moja kamba vs mkosaji kosaji dakika zote 90?Imagine unashangilia timu ambayo inakoswa koswa dk 90. Unakuwa kwenye hali gani?
Umeelewa concept niliyokuwa naijenga?Sasa mbona unauliza swali ambalo jibu lake unalijua?
Chukua mechi 5 kati ya Al Ahly vs Simba. halafu chukua mechi 5 za mwisho za Al Ahly vs Mamelod fanya comparison ni yupi mbabe wa Al Ahly kwa hivi karibuni. Umeshasema kuwa H2H huwa inahesabiwa mechi 5 za mwisho zilipokutana sasa unazunguka zunguka nini? Jambo lipo wazi tuweke hapa mechi 5 za mwisho kwa kila upande
Inakoswa koswa?Tufanye timu yako A halafu mimi timu B. Mimi timu nayoshangilia inakoswa koswa magoli dakika 90 ila nimeishia kukoswa koswa tu lakini mwenzio timu yangu umepata nafasi moja na hiyo hiyo imekuwa goli. Je yupi atakayeondoka anafuraha kati ya aliyekoswa koswa dakika zote 90 akapata chance moja kamba vs mkosaji kosaji dakika zote 90?
Kufungwa kwa aina yoyote hakuna furaha Ila hapa linakuja suala la ubora wa timu hata kama haina bahati. Timu bora ni timu bora saa yoyote inadhihirisha ubora wake.Tufanye timu yako A halafu mimi timu B. Mimi timu nayoshangilia inakoswa koswa magoli dakika 90 ila nimeishia kukoswa koswa tu lakini mwenzio timu yangu umepata nafasi moja na hiyo hiyo imekuwa goli. Je yupi atakayeondoka anafuraha kati ya aliyekoswa koswa dakika zote 90 akapata chance moja kamba vs mkosaji kosaji dakika zote 90?
Wacheza makida sioπππππππππCAF yote inajua mechi yao bora ni ya Ijumaa.
Na ndio maana wameipa heshima kuwa siku hiyo kutakuwa na mechi moja tu.
Kwanini? Kwasababu ndio Derby ya Africa mpaka sasa.
Al Ahly na Simba hakuna mbabe katika mechi zote walizokutana.
Maana yake ulimwengu mzima kwa siku ya Ijumaa ukiwa unataka kuangalia mechi za CAF, utakuwa unatazama mechi moja tu ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Baada ya hapo ndio watafuata wacheza makida kujirusha rusha nao kukamilisha ratiba.
Jamaa ni Hatariii sana,nimecheki baazi ya clip zao..mwamba anahatariii.Atakuwepo
View attachment 2944492
Hapo umeingilia kitu usichokijua kimeanzia wapi, embu fuatilia kwanza juu ujue tunaongelea ninuInakoswa koswa?
Timu yako imeruhusu mabao mangapi kwenye group stage?