Yanga wakitumia mbinu zile ambazo hutumia Petro de Luanda anaweza kushinda vizuri tu.
Petro de Luanda wanaisumbua sana Mamelodi wakikutana na wanafanikiwa kuifunga Mamelodi.
Kwa hivi Mamelodi wanafungika kama tu timu zingine katika soccer.
Lakini Yanga watumie mbinu zaidi kutumia wasije wakaingia katika mtego wa Mamelodi, Yanga wanaeza kutumia viungo wa pembeni right and left flanks kukimbia kwa haraka katika transition kutanua uwanja kutumia counter bila kuzubaa na kushambulia kupata magoli, kucheza long and accurate pass na viungo wa kati kuvuruga na kuharibu mipango ya Mamelodi.
Yanga wawe makini sana wasichezee sana mipira watumie pira guu la roho, guu la shingo, guu la tembo mana niliota katika ndoto Yanga wamefungwa goli mbili au zaidi, kushtuka ni ndoto lakini ndoto zangu uwa ni kweli.