Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

Nitapunguza za mwisho
 
Ok kwahiyo kwako timu bora ni tumefungwa ila chenga tumewala,
Tumefungwa ila moto tuliowapelekea watasimulia.
Wakati ukiamini hivyo, wapo wanaoamini timu bora sio inayocheza vizuri bali ni ile inayopata matokeo.
 
Unajua timu bora ni timu bora. Kama imepoteza sababu ya kutokuwa na bahati kwenye mechi husika au mechi mbili au tatu hata nne huwezi futa ubora wake, wakati wowote inaweza kukuadhibu sababu ni bora na inatengeneza nafasi.

Tofauti na timu mbovu ambayo haitengenezi nafasi ila ina bahati, Ile ni kama kubeti. Roho mkononi.

Simba haiwezi kwenda kumvaa Al hly kama timu mbovu sababu hajawa na bahati ya kufunga katika nafasi nyingi anazotengeneza. Simba inaenda kucheza na timu bora Africa.
 
Al ahly aliweka rekodi ya kumpiga mtu goli 5 tena kwenye kipindi cha kwanza tu hakika ile ilikuwa rekodi ya kusisimua mno
 
Kila la kheri Yangaaa πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…