Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Viungo hao wavunja kuni kina Fred ndo mlikua mnawategemea?
 
Fainali ni Arg Vs France.

Croatia lazima abatuliwe na Arg ndani ya dakik 90, vivyo hivyo Morocco atapigwa ndani ya dakik 90.

Mechi zote zilizobaki hazitakua na extra time(zile dakika 30) kwa maana hiyo hawatoenda matuta.

Labda ile ya Croatia Vs Morocco ndo inaweza kua na matuta.
 
Umesahau chuma kingine, Croatia. Hao si watu wazuri wanaweza kuishangaza Dunia
 
Agentina anachukua ndoo
 
My friend ni Morocco vs Croatia. Lazima watu wa betting wawafilisi....na nasema wawafilisi hasa mpaka mkome wenyewe kuibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…