Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.
Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi fainali yetu tuimalizie hapohapo kwa Mkapa kwa margin ya magoli mengi na clean sheet.
Kwa upande wa hamasa unapaswa ticket ziishe siku mbili kabla ya mechi, tunahitaji full house kwa Mkapa na si vinginevyo, hakuna kipindi cha mwananchi kushiriki kuipa mafanikio timu kama kununuwa tickets hata kama huna mzuka wa kwenda uwanjani wagawie tickets wapenda vibe la uwanjani.
Hii ni historia katika kipindi cha uhai wetu usikubali kuwa nje ya historia hii adhimu.
Kama una ushauri zaidi wa kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa hebu na wewe tiririka viongozi wanasoma maoni yetu.