Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nasemaje Yanga kwa mwarabu hamchomoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utoto tu unamsumbuwa, akikuwa ataacha.Umejiunga JF juzi mwaka huna unatukana watu wa miaka humu, tutakufuta moja kwa moja JF na IP address yako hutarudi humu milele, huna adabu mtoto wewe
'Kolo' moja..!Kooote mmeruka ruka mnakutana na vitimu vinavyoshuka daraja vingine vishajifia kitaaambo lkn hapa mtachakazwa. Hapa hamchomoki
Nadhani hujui kama hawa USM Alger unaowaona wa maana kama wafariji wako walipigwq mbili bila na Marumo, halafu Yanga imempiga nje ndani Marumo, hapo una la kusema bwashee?Kooote mmeruka ruka mnakutana na vitimu vinavyoshuka daraja vingine vishajifia kitaaambo lkn hapa mtachakazwa. Hapa hamchomoki
Mechi fitness INA umuhimu wake pia, kuna nusu fainali ya FA na Singida Big stars.Ningependa kufahamu tuna mechi ngapi kabla ya fainali? Kama mechi za ligi ambayo tushachukua yafaa tuwacheze kikosi cha pili hakuna ma pro ili kulinda wasiumie
Yes ni muhimu ila kama tunacheza mechi mbili kabla ya kwenda kucheza na muarabu basi mechi moja iwe ya mapro ya pili iwe kikosi cha piliMechi fitness INA umuhimu wake pia, kuna nusu fainali ya FA na Singida Big stars.
Mechi ni moja tu VS Singida BS nusu fainali AFSC.Ningependa kufahamu tuna mechi ngapi kabla ya fainali? Kama mechi za ligi ambayo tushachukua yafaa tuwacheze kikosi cha pili hakuna ma pro ili kulinda wasiumie
May 21Mechi ni moja tu VS Singida BS nusu fainali AFSC.
= kujali... kujari...
Wabongo mbona mnapenda vyabure yan hadi fainal muingie bure ila madem mnalipiaKiingilio kiwe bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Napiga hoja.. kwanini kiingilio kiwe bure????Kiingilio kiwe bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sawa usijekubadiri Kauli yako.Kooote mmeruka ruka mnakutana na vitimu vinavyoshuka daraja vingine vishajifia kitaaambo lkn hapa mtachakazwa. Hapa hamchomoki
Mkuu umeongea vizuri Sana nami nataka kuongezea tu hoja ..Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.
Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi fainali yetu tuimalizie hapohapo kwa Mkapa kwa margin ya magoli mengi na clean sheet.
Kwa upande wa hamasa unapaswa ticket ziishe siku mbili kabla ya mechi, tunahitaji full house kwa Mkapa na si vinginevyo, hakuna kipindi cha mwananchi kushiriki kuipa mafanikio timu kama kununuwa tickets hata kama huna mzuka wa kwenda uwanjani wagawie tickets wapenda vibe la uwanjani.
Hii ni historia katika kipindi cha uhai wetu usikubali kuwa nje ya historia hii adhimu.
Kama una ushauri zaidi wa kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa hebu na wewe tiririka viongozi wanasoma maoni yetu.
Tuletee msimamo wa Usm Alger hapa .kila stage mna kuja na taarabu hizo hizo kasoro beat tuki wachapa mbadilishe bitiKooote mmeruka ruka mnakutana na vitimu vinavyoshuka daraja vingine vishajifia kitaaambo lkn hapa mtachakazwa. Hapa hamchomoki
Hatu ijui iyo wao ndo wafanye jitihada kufikia hapa tulipoYanga fanyeni jitihadi mvunje rekodi ya Simba ya 1993