gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
WAPI TUMESEMA NI CONFEDERATION? SISI TUNAZUNGUMZIA MICHUANO YA CAF, KOMBE LIKIITWA CAF CUPConfederation cup imeanza 2004 kila siku mnafundishwa hamuelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAPI TUMESEMA NI CONFEDERATION? SISI TUNAZUNGUMZIA MICHUANO YA CAF, KOMBE LIKIITWA CAF CUPConfederation cup imeanza 2004 kila siku mnafundishwa hamuelewi
Tucheze mashabikimechi zilizobaki nbc key players wasipangwe wataumizwa makusudi
Sasa Yanga anacheza CAF cup?WAPI TUMESEMA NI CONFEDERATION? SISI TUNAZUNGUMZIA MICHUANO YA CAF, KOMBE LIKIITWA CAF CUP
SIJUI ILA NINACHOJUA SISI NDIYO TULIKUWA WA KWANZA KUINGIA FAINALI YA MICHUANO YA CAFSasa Yanga anacheza CAF cup?
Duh..kaka unarohoo ngumu sana..🤣🤣🤣Kooote mmeruka ruka mnakutana na vitimu vinavyoshuka daraja vingine vishajifia kitaaambo lkn hapa mtachakazwa. Hapa hamchomoki
Siyo kombe la Winners's cupACHA UPUMBAVU WEWE LILIKUWA NI KOMBE LA CAF NA LILIITWA CAF CUP MDHAMINI ALIKUWA ABIOLA JUST LIKE TODAY MDHAMINI NI TOTAL ENERGIES PUMBAVU WEWE.!!!!
Confederation Cup linahusisha timu zipi? Na waliyoshiriki Simba ilihusisha timu zipi?Confederation cup imeanza 2004 kila siku mnafundishwa hamuelewi
Sisi hatupo kuvunja record za mtu tuna set records zetuConfederation Cup linahusisha timu zipi? Na waliyoshiriki Simba ilihusisha timu zipi?
Mkitoja hapo vunjeni rekodi ya Simba ya kuingia nusu fainali klabu bingwa Afrika mwaka 1974
Utaset vipi record ambayo ameshaset mtu? Record ikishasetiwa wewe huna tena nafasi ya kuiset, nafasi uliyonayo wewe ni kuivunja tuSisi hatupo kuvunja record za mtu tuna set records zetu
Huwezi kutumia lugha ya kuvunja rekodi kwa vitu visivyofanana (vitu tofauti). CAFCC imeanza 2004 na kwa Tanzania Yanga ni Club ya kwanza kufika hiyo hatua. Hilo CAF CUP la huko nyuma aliloshiriki Simba lilishirikisha club 5 tu. Hakukua na hatua kama alizopita Yanga. Simba ana rekodi yake na Yanga ana rekodi yake period. Kila mmoja abaki na rekodi zake.WAPI TUMESEMA NI CONFEDERATION? SISI TUNAZUNGUMZIA MICHUANO YA CAF, KOMBE LIKIITWA CAF CUP
Michuano ya CAF ni CAFCL na CAFCC, na Yanga yuko fainali CAFCC. Sasa Simba hiyo 1993 alifika fainali mashindano yapi hapo?SIJUI ILA NINACHOJUA SISI NDIYO TULIKUWA WA KWANZA KUINGIA FAINALI YA MICHUANO YA CAF
Nishabiki ya simba inafuta kwa hasira, looser ni looser tuACHA UPUMBAVU WEWE LILIKUWA NI KOMBE LA CAF NA LILIITWA CAF CUP MDHAMINI ALIKUWA ABIOLA JUST LIKE TODAY MDHAMINI NI TOTAL ENERGIES PUMBAVU WEWE.!!!!
You nailed it periodHuwezi kutumia lugha ya kuvunja rekodi kwa vitu visivyofanana (vitu tofauti). CAFCC imeanza 2004 na kwa Tanzania Yanga ni Club ya kwanza kufika hiyo hatua. Hilo CAF CUP la huko nyuma aliloshiriki Simba lilishirikisha club 5 tu. Hakukua na hatua kama alizopita Yanga. Simba ana rekodi yake na Yanga ana rekodi yake period. Kila mmoja abaki na rekodi zake.
Vizuri sana, tuombe uzima nami mapema siku hiyo, nitakuwa uwanjani na uzi wangu wa Yanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥Mkuu umeongea vizuri Sana nami nataka kuongezea tu hoja ..
Yanga wakati anaanza hii michuano alionekana kama mshiriki tu nakumbuka hata pale clouds kuna MCHAMBUZI mmoja alisema eti huu ni Muda wa kutafuta uzoefu yaani tuishie makundi ili kujifunza! [emoji2] Serious??
Sikuhiyo nilisikitika sana, hivi we Kwa mfano Una nafasi ya kwenda kufanya vizuri utaamua kujikosesha kisa bado Huna uzoefu?? Halafu kwenye kombe la shirikisho Yanga hii wala haikua mara ya Kwanza kuingia kwenye makundi tushaingia mara mbili kipindi kile cha Manji bahati mbaya pote tulitolewa tukiwa na point 4 nankushika mkia kwenye kundi... Je, bado tulikua tunahitaji uzoefu upi zaidi ya huo?
Fid q aliwahi kusema " huu sio muda wa kujaribu wenzako wanafanya kweli" kama ni wakati wa wavuno kwanini ulale njaa eti kisa utakuja Kula wakati wa dhiki utakua Huna akili..
Sasa nirudi kwenye mada baada ya Yanga kutinga robo Fainali huku akiwa anaongoza kundi na kwenda kumpasua Rivers United kwao mbili Nunge lakini pia kumkanyaga Marumo Gallants ambaye kihisitoria msimu huu kwenye hii michuano akufungwa kwake bila Shaka huyu USM Alger atakuja bongo huku anaiogopa Yanga..
Kuna Stori mbili...
Ya Kwanza huyu USM Alger alipigwa 2-0 na Marumo so lazima ajue anakutana na mbabe wa mbabe wake...
Ya pili ni kisasi.. yes hawa USM Alger tulikua nao kundi moja kipindi tunapigwa kama Ngoma. Kumbuka huu msimu ni wa kulipa visasi .. mazembe, rivers wote tumewalipa bado huyu yeye ataponaje...
Naaam ni Muda Wa kupiga kampeni moja babu kubwa watu waje Kwa mkapa kushuhudia tukio la kihisitoria binafsi ntakuepo mapema sana.. hii inatakiwa iwe zaidi ya siku ya Mwananchi..
Lakini pia mambo ya kununuliana tiketi yafe watu wanunue tiketi ili kuisapoti club...
Wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji28]
Ndio lipi hilo?Kama nyinyi mnavyoshiriki Kombe la ‘Total Energy’? Basi sawa.
I second youNi basi tu bongo hatupo serious ila mechi ya fainali kiingilio haipaswi kua chini ya elf 10
Hilo la Total Energy, kwani la Abiola ndio lipi hilo?Ndio lipi hilo?