Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.

Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi fainali yetu tuimalizie hapohapo kwa Mkapa kwa margin ya magoli mengi na clean sheet.

Kwa upande wa hamasa unapaswa ticket ziishe siku mbili kabla ya mechi, tunahitaji full house kwa Mkapa na si vinginevyo, hakuna kipindi cha mwananchi kushiriki kuipa mafanikio timu kama kununuwa tickets hata kama huna mzuka wa kwenda uwanjani wagawie tickets wapenda vibe la uwanjani.

Hii ni historia katika kipindi cha uhai wetu usikubali kuwa nje ya historia hii adhimu.

Kama una ushauri zaidi wa kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa hebu na wewe tiririka viongozi wanasoma maoni yetu.
FDA4828C-BA5E-43BE-BCA2-297964B98E8A.jpeg

Hii tumalize Lupaso.
 
Zingatia humo kwenye bold.

Back to the topic: Wanasiasa wasipende kujipendekeza kwenye timu bila kuisaidia. Kwenye mechi ya tareh 28, viingilio viwe bure kwa majukwaa yote. Vuvuzela na kelele zikiwa nyingi, mwarabu lazima akae.

Daima mbele.
 
Mkuu umeongea vizuri Sana nami nataka kuongezea tu hoja ..

Yanga wakati anaanza hii michuano alionekana kama mshiriki tu nakumbuka hata pale clouds kuna MCHAMBUZI mmoja alisema eti huu ni Muda wa kutafuta uzoefu yaani tuishie makundi ili kujifunza! [emoji2] Serious??
Sikuhiyo nilisikitika sana, hivi we Kwa mfano Una nafasi ya kwenda kufanya vizuri utaamua kujikosesha kisa bado Huna uzoefu?? Halafu kwenye kombe la shirikisho Yanga hii wala haikua mara ya Kwanza kuingia kwenye makundi tushaingia mara mbili kipindi kile cha Manji bahati mbaya pote tulitolewa tukiwa na point 4 nankushika mkia kwenye kundi... Je, bado tulikua tunahitaji uzoefu upi zaidi ya huo?

Fid q aliwahi kusema " huu sio muda wa kujaribu wenzako wanafanya kweli" kama ni wakati wa wavuno kwanini ulale njaa eti kisa utakuja Kula wakati wa dhiki utakua Huna akili..

Sasa nirudi kwenye mada baada ya Yanga kutinga robo Fainali huku akiwa anaongoza kundi na kwenda kumpasua Rivers United kwao mbili Nunge lakini pia kumkanyaga Marumo Gallants ambaye kihisitoria msimu huu kwenye hii michuano akufungwa kwake bila Shaka huyu USM Alger atakuja bongo huku anaiogopa Yanga..

Kuna Stori mbili...
Ya Kwanza huyu USM Alger alipigwa 2-0 na Marumo so lazima ajue anakutana na mbabe wa mbabe wake...
Ya pili ni kisasi.. yes hawa USM Alger tulikua nao kundi moja kipindi tunapigwa kama Ngoma. Kumbuka huu msimu ni wa kulipa visasi .. mazembe, rivers wote tumewalipa bado huyu yeye ataponaje...

Naaam ni Muda Wa kupiga kampeni moja babu kubwa watu waje Kwa mkapa kushuhudia tukio la kihisitoria binafsi ntakuepo mapema sana.. hii inatakiwa iwe zaidi ya siku ya Mwananchi..

Lakini pia mambo ya kununuliana tiketi yafe watu wanunue tiketi ili kuisapoti club...

Wanachiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji28]
Sawa
 
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.

Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi fainali yetu tuimalizie hapohapo kwa Mkapa kwa margin ya magoli mengi na clean sheet.

Kwa upande wa hamasa unapaswa ticket ziishe siku mbili kabla ya mechi, tunahitaji full house kwa Mkapa na si vinginevyo, hakuna kipindi cha mwananchi kushiriki kuipa mafanikio timu kama kununuwa tickets hata kama huna mzuka wa kwenda uwanjani wagawie tickets wapenda vibe la uwanjani.

Hii ni historia katika kipindi cha uhai wetu usikubali kuwa nje ya historia hii adhimu.

Kama una ushauri zaidi wa kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa hebu na wewe tiririka viongozi wanasoma maoni yetu.
Kwa kweli iwe ni kuanzia au kumalizia, Kampeni ya pale kwa Mkapa inapaswa iwe ni ya magoli mengi sana
 
Lakini mpaka Yanga inafika fainali unamjuwa timu imespend cash kiasi gani?

Halafu hii mentality ya bure utashow love lini kwa timu yako kwa kuisupport kipesa?

Malumo walioffer mechi yao watu kuingia bure kwa sababu South Africa timu zenye watu ni Orlando Pirates na Kaizer Chiefs, haya hao Mamelodi Sundowns licha ya kwamba wao ndio wanatawwla soka la South Africa kwa sasa lakini bado INA mashabiki wa kawaida tu, vibe lipo kwa Orlando Pirates na Kaizer Chiefs.
kusini mwa sahara, hakuna nchi ina mashabiki wanaopenda soka kuzidi tanzania...
 
Huna rekodi yeyote hiyo 1993

Halikuwa kombe la shirikisho like(CAF Winners's Cup) Bali kombe la Abiola
ACHA UPUMBAVU WEWE LILIKUWA NI KOMBE LA CAF NA LILIITWA CAF CUP MDHAMINI ALIKUWA ABIOLA JUST LIKE TODAY MDHAMINI NI TOTAL ENERGIES PUMBAVU WEWE.!!!!
 
Napiga hoja.. kwanini kiingilio kiwe bure????

Kumbuka hii ni Fainali hua haiji kiarahisi hasa Kwa timu zetu hizi ambazo bado zinajitafuta.
Nazani kama kuna muda wananchi tunapaswa kuiunga mkono club n sasa...
Ni basi tu bongo hatupo serious ila mechi ya fainali kiingilio haipaswi kua chini ya elf 10
 
Back
Top Bottom