Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.


Hii tumalize Lupaso.
 
Zingatia humo kwenye bold.

Back to the topic: Wanasiasa wasipende kujipendekeza kwenye timu bila kuisaidia. Kwenye mechi ya tareh 28, viingilio viwe bure kwa majukwaa yote. Vuvuzela na kelele zikiwa nyingi, mwarabu lazima akae.

Daima mbele.
 
Sawa
 
Kwa kweli iwe ni kuanzia au kumalizia, Kampeni ya pale kwa Mkapa inapaswa iwe ni ya magoli mengi sana
 
kusini mwa sahara, hakuna nchi ina mashabiki wanaopenda soka kuzidi tanzania...
 
Huna rekodi yeyote hiyo 1993

Halikuwa kombe la shirikisho like(CAF Winners's Cup) Bali kombe la Abiola
ACHA UPUMBAVU WEWE LILIKUWA NI KOMBE LA CAF NA LILIITWA CAF CUP MDHAMINI ALIKUWA ABIOLA JUST LIKE TODAY MDHAMINI NI TOTAL ENERGIES PUMBAVU WEWE.!!!!
 
Napiga hoja.. kwanini kiingilio kiwe bure????

Kumbuka hii ni Fainali hua haiji kiarahisi hasa Kwa timu zetu hizi ambazo bado zinajitafuta.
Nazani kama kuna muda wananchi tunapaswa kuiunga mkono club n sasa...
Ni basi tu bongo hatupo serious ila mechi ya fainali kiingilio haipaswi kua chini ya elf 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…