Mechi ya Fainali kwa Mkapa Yanga Vs Usm Alger kampeni na mikakati kabambe ianze mara moja.

NDEGE ILIYOTOLEWA NA MH RAIS, Nashauri natahadharisha TFF na Karai lao wasithubutu kujifanya wanataka kwenda kuisapoti Yanga huko Algeria... TFF imekua ikiifitini sana Yanga, sasa hivi wasijifanye wanaipenda Yanga...
Ushaur wa pili mashabik watakaopanda hiyo ndege wawe wale ambao mara zote huonekana kwenye Azam Tv wakiifuata Yanga inapocheza kila mkoa na kuishangilia dakika 90...
YANGA 💛💚 BINGWA
 
Confederation cup imeanza 2004 kila siku mnafundishwa hamuelewi
Confederation Cup linahusisha timu zipi? Na waliyoshiriki Simba ilihusisha timu zipi?

Mkitoja hapo vunjeni rekodi ya Simba ya kuingia nusu fainali klabu bingwa Afrika mwaka 1974
 
WAPI TUMESEMA NI CONFEDERATION? SISI TUNAZUNGUMZIA MICHUANO YA CAF, KOMBE LIKIITWA CAF CUP
Huwezi kutumia lugha ya kuvunja rekodi kwa vitu visivyofanana (vitu tofauti). CAFCC imeanza 2004 na kwa Tanzania Yanga ni Club ya kwanza kufika hiyo hatua. Hilo CAF CUP la huko nyuma aliloshiriki Simba lilishirikisha club 5 tu. Hakukua na hatua kama alizopita Yanga. Simba ana rekodi yake na Yanga ana rekodi yake period. Kila mmoja abaki na rekodi zake.
 
SIJUI ILA NINACHOJUA SISI NDIYO TULIKUWA WA KWANZA KUINGIA FAINALI YA MICHUANO YA CAF
Michuano ya CAF ni CAFCL na CAFCC, na Yanga yuko fainali CAFCC. Sasa Simba hiyo 1993 alifika fainali mashindano yapi hapo?
 
ACHA UPUMBAVU WEWE LILIKUWA NI KOMBE LA CAF NA LILIITWA CAF CUP MDHAMINI ALIKUWA ABIOLA JUST LIKE TODAY MDHAMINI NI TOTAL ENERGIES PUMBAVU WEWE.!!!!
Nishabiki ya simba inafuta kwa hasira, looser ni looser tu
 
You nailed it period
 
Vizuri sana, tuombe uzima nami mapema siku hiyo, nitakuwa uwanjani na uzi wangu wa Yanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Twende kwa Mkapa, tukashuhudie historia ya soka TZ 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…