Mechi ya kirafiki: Al Nassr 6-0 Inter Miami dakika ya 90 game on

Wew inaonesha uyo Messi umetazama mechi zake chache Sana unapenda kuskiliza stori za watu sana angekuaa hakabiki si angefunga ata Goli nane tu kwenye france leauge one kwenye msimu wake wa kwanza
Usiochelewa neno akabiki halimaanishi literal mara zote hakabiki.
Ila ni mchezaji hatari kwa asilimia kubwa na ana uwezo wa kfanya lolote kwa mda wowote unaelewa lakini?
Tuonyeshe kombe la dunia la ronaldo?
 
Ndio tumekupa mifano uache kuskiliza propaganda za watu na Hakuna sehemu tumekwambia Ronaldo hadhuiliki ayo Maneno yakusema Messi hadhuiliki umeyaleta wrw
Ni vile unashindwa kuelewa lugha. Mimi ninaweza kusema Lebron au steph curry ni mashooter wazuri sana hawakosi, haimaanishi hawakosi hapana ila 95% Akishoot hakosi.
 
Usiochelewa neno akabiki halimaanishi literal mara zote hakabiki.
Ila ni mchezaji hatari kwa asilimia kubwa na ana uwezo wa kfanya lolote kwa mda wowote unaelewa lakini?
Tuonyeshe kombe la dunia la ronaldo?
angekua ana uwezo wakufanya lolote kwa wakati wowote angeisadia PSG kushinda Champions leauge na Pia angekua amevunja rekodi zote za soka la Dunia
 
Mimi nimeuliza hivi, kabla dakika haijakamilika huwa ipo sekunde,
Mpira ukianza huwa unaanza na namba zipi? Ili na mm nikuomyeshe ni vipi ronaldo hajavunja hizo rekodi
Mahesabu ya muda kwenye mpira baada ya mchezaji kufunga goli hayatambui sekunde

Ronaldo kafunga goli sekunde ya 45 lakini katika algorithm za mpira hiyo ni dakika moja.

Takwimu za mpira zime lay kwenye 1-90 sio 00-90
 
sasa mpira ukianza hua ni 00:00 ronaldo hajawahi kushinda katika hiyo 00:00 regardless sheria za mpira hazitambui hilo. Lakini kashindwa kuvunja hio rekodi ya kufunga 00:00 kwahyo hata yeye katika suala la muda hajamaliza
 
Sasa kama sheria hazitambui, hiyo sheria yako ya 00:00 huoni kuwa ni wishfully thinking?
 
Achana na tuzo za Golden Ball, tuje kwenye MOTM awards ambazo huwa anapewa mchezaji kutokana na ubora wake kwenye mechi anazocheza.

Messi amepewa kwenye mechi 395, Ronaldo anazo 176. Bado unataka niendelee? au niishie hapa?
 
Ronaldo na Kibu Dennis wanafanana maana wote hawana kombe la dunia...
 
Tusimvunjie heshima Leonel Messi, kipaji chake ni cha hali ya juu tofauti na Ronaldo, wote wanajua mpira lakini kwa messi ni issue nyingine
 
nawakati huo yeye anafunga 16 lacazette ilifunga 28 just imagine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Achana na tuzo za Golden Ball, tuje kwenye MOTM awards ambazo huwa anapewa mchezaji kutokana na ubora wake kwenye mechi anazocheza.

Messi amepewa kwenye mechi 395, Ronaldo anazo 176. Bado unataka niendelee? au niishie hapa?

MOTM ni mchongo tu, unakuta eti ma fans ndio wanapiga kura kuchagua, fanboys wa wachezaji huwahi kujaza kura fasta unasikia tu ROnaldo au Messi katangazwa.
 
washabiki wa Pessi wamevurugwa sana, wanarusha matusi tu hata ukipishana nao mitaani

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anti Messi gang mmeshapata la kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…