Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Huyu jamaa ifikie wakati kocha akubali kuwa mchango wake ni mdogo sana kwenye timu! anawachosha wengine
Aise kumbe Phiri kaingia, ebu nhoja tuone hii kona kama wataitumia vizuri
 
77'
Al hilal wanacheza offside
 
Mbona sioni muunganiko wowote pale mbele!? hilp goli litatoka wapi mkuu
Unazungumzia mechi hii mkuu?

Hii mechi inaisha hivi hivi, Simba hana dalili ya kufunga goli
 
Mnataka mfunge kila siku jamanii hebu tuache utani. Hata hapo kutofungwa nyingi napo ni ushindi..juzi kamchabanga mtu 4 hwajapumzika vzr leo tena mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…