Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ndio mpk sasa naona hiko kitu anaachaje kumtoa akamweka phiri ambae ameonyesha uwezo binafsi.Anatuangusha sana kiukweli halafu naona kama anabebwa na kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mpk sasa naona hiko kitu anaachaje kumtoa akamweka phiri ambae ameonyesha uwezo binafsi.Anatuangusha sana kiukweli halafu naona kama anabebwa na kocha
wote wapo uwanjani mkuu kwa sasaNdio mpk sasa naona hiko kitu anaachaje kumtoa akamweka phiri ambae ameonyesha uwezo binafsi.
Halafu Simba inacheza kawaida tuJamaa wameikamia SIMBA kinoma
Mbona nasikia hajaingia?wote wapo uwanjani mkuu kwa sasa
Mbona sioni muunganiko wowote pale mbele!? hilp goli litatoka wapi mkuuAise kumbe Phiri kaingia, ebu nhoja tuone hii kona kama wataitumia vizuri
Labda amechokaKama kuna kaukweli