Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

Na wao utopolo wapo kimataifa[emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa Yanga bana

Yani vichenga kidogo wanashangilia, sasa wachezaji wao wangekuwa wanaupiga kama ule wa simba si wangekauka makoo kwa kushangilia

Au ile ya chama alivyo wakata mabeki na kuwapa mseleleko, can you imagine yanga wangeshangilia namna gani?
 
Young Africans Kwa Sasa Kwenye Ligi Hana Mpinzani Hadi Shabani Djuma Ameanza Kunenepa
 
Dakika 12 ya mchezo mpira bado umepoa sijajua kwasababu zote ni timu za mchangani au namna gani
 
Diarra anafanya masihara na hisia za mashabiki

Mechi ikiisha yanga kafungwa asifikiri watamuelewa kwa kigezo cha kusema mechi ya kirafiki
 
Back
Top Bottom