Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

Sasa hasira za nini utasema mimi ndio nimetuma barua TFF. Hakuna haja ya kutukana Ramadhan hiyo ni imani ya watu usiingize Ramadhan katika hili sisi tumesema labda Ramadhan? lakini hii sio mara ya kwanza mechi kuchezwa saa moja hata kabla ya Ramdhan. Tatizo hapa ni kwanini wabadilishe muda siku ya game hawakuyajuwa haya? wizara sio kazi yake kupanga muda wa game ni kazi ya bodi ya league. Barua yao wangesema sababu ni zipi ila wamesema maelekezo tu ya wizara kama wamejitoa wao katika hili.
 
Huu ni ujinga mkubwa sana, tunapotezeana muda kipumbavu kabisa
 
Magoli mawili yameshangiliwa na mashabiki,ila sikufahamu timu gani iliyofunga nilipo amka na kucheki nikakuta shabiki wa simba akimpiga jiwe shabiki wa Yanga huku akimuuliza "unashangilia nini?"

Mtaalam wa kubashiri.
Nina nyota ya kaa
kundi la damu AB+

[emoji102]
 
Simba na TFF mnahaha mvua hamna Leo hata ichezwe saa tano usiku hakuna mvua
 
Cjui nitakua mtu wa aina gani niache kucheki ball la baselona-Atletico____Man city-Chelsea____Madrid-Sevilla. Eti nicheki game la yanga na simba 😁 akili gani izi.
Sijui Man City, sijui Baja hawana nafasi kwa Simba v Yanga, we mwenyewe unajiongelesha tu
 
Hao watu wa wizara ya Habari utamaduni na michezo wametoa hoja gani ya msingi? Isije tukawa tunamsubiri Waziri amalize kikao aje uwanjani ndio mechi ianze kwa sababu yake
 
Mimi shabiki wa Simba sioni sababu za msingi za kuhailisha mechi.kama kufunga siku zote mechi zinachezwa wachezaji na mashabiki wakiwa wamefunga.Wizara ya sanaa ndo nini? Hii haiko sawa kabisa wanatukwaza katika ratiba zetu.Mimi nipo mikoani nasubiri kwa redio, hao walioko ndani ya uwanja si ndo shida tupu.Hii nchi bado sana![emoji56]
 
mmmh bongo bahati mbaya yaani tukio kubwa kama hili mambo yanaendeshwa kienyeji enyeji tu. Si wangetoa tamko mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…