Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hasira za nini utasema mimi ndio nimetuma barua TFF. Hakuna haja ya kutukana Ramadhan hiyo ni imani ya watu usiingize Ramadhan katika hili sisi tumesema labda Ramadhan? lakini hii sio mara ya kwanza mechi kuchezwa saa moja hata kabla ya Ramdhan. Tatizo hapa ni kwanini wabadilishe muda siku ya game hawakuyajuwa haya? wizara sio kazi yake kupanga muda wa game ni kazi ya bodi ya league. Barua yao wangesema sababu ni zipi ila wamesema maelekezo tu ya wizara kama wamejitoa wao katika hili.Ramadhan kitu gan wewe???
Yaam Ramadhan bongo tu??????
Ulaya huko ushaona hii???
Inamaana wanataka nn??? Wachezaji wale kwanza???? Mashabiki wale kwanza ??? Swala ??? Au nn????
Vipi wakrsto na Mfungo wao... Nao iwe ivyo???
TFF OVYOOOO, WIZARA WASENGEE.
Nashangaa watu hawalioni hili wakati limeandikwa vizuri kabisaTff wamepewa amri na wizara ya michezo
Wabongo hawasomagi habari mkuuNashangaa watu hawalioni hili wakati limeandikwa vizuri kabisa
Vice versa is true. God and meHatakama ila
YANGA 2 - SIMBA 0
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] unapindua matokeo?Hatakama ila
YANGA 2 - SIMBA 0
Sijui Man City, sijui Baja hawana nafasi kwa Simba v Yanga, we mwenyewe unajiongelesha tuCjui nitakua mtu wa aina gani niache kucheki ball la baselona-Atletico____Man city-Chelsea____Madrid-Sevilla. Eti nicheki game la yanga na simba 😁 akili gani izi.
Kweli mkuuMambo kama haya yanafanya tuamini.
Kwa sababu wameahirisha mechi bila kutoa sababu yoyote ya msingi.
Viongozi wetu wanazingua sana hawazingatii maslahi ya wengine.
Mimi shabiki wa Simba sioni sababu za msingi za kuhailisha mechi.kama kufunga siku zote mechi zinachezwa wachezaji na mashabiki wakiwa wamefunga.Wizara ya sanaa ndo nini? Hii haiko sawa kabisa wanatukwaza katika ratiba zetu.Mimi nipo mikoani nasubiri kwa redio, hao walioko ndani ya uwanja si ndo shida tupu.Hii nchi bado sana![emoji56]