Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

Jean baleke alicheza Lebanese leage timu inayoitwa nejmeh jumla ya michezo 11 dakika 519 jumla ya magoli yote ni 3 na assist 1.
Jamaa mwenzako ametoka kukusema kuhusu kuanzisha nyuzi nyingi nyingi za Simba, kabla hajamaliza umeshaanzisha mwingine! 😁😁😁
 
Jamaa mwenzako ametoka kukusema kuhusu kuanzisha nyuzi nyingi nyingi za Simba, kabla hajamaliza umeshaanzisha mwingine! [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nimezungumzia ukweli halisi sijazungumzia Mambo ya simba hapo.
 
Hakuna unachoafiki wewe.Inaonekana hata kitandani una gubu sana.
 
Ukiniambia kwanini mayele alitemwa na vita ambayo ilikuwa inajua ina mashindano ya klabu bingwa afrika ndio ntakwambia kwanini alitoka lebanon!
Baki na jibu lako na Mimi nibaki na jibu langu.
 
Ni sahihi kabisa 🤓
 
Unaandika yote haya kujifariji?

Mayele alipopata hat trick dhidi ya Zalani fc siyo nyie mlikenua magego na kujipiga vifua?

Ihefu alikufunga na Mayele yupo mpaka dakika 90 zikaisha, leo unasema siyo kipimo unataka amfunge nani?

Jamani!
 
Unaandika yote haya kujifariji?

Mayele alipopata hat trick dhidi ya Zalani fc siyo nyie mlikenua magego na kujipiga vifua?

Ihefu alikufunga na Mayele yupo mpaka dakika 90 zikaisha, leo unasema siyo kipimo unataka amfunge nani?

Jamani!
Ihefu ile utaifananisha na hii ifu ya mchongo ihefu ya bahasha hivi uliangalia mpira wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…