Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

Up and down kwenye soccer ni kawaida sana mkuu. Sasa ulitaka afunge kwenye ligi ipi , na wakati anacheza Tanzania. Au umpime kwenye ligi ya taifa lipi( south africa , Algeria au misri ..) ili iwe kipimo sahihi kwako unavyoona?
 
Wewe jamaa kwenye ile orodha ya Mwakyembe utakuwa namba moja
 
Up and down kwenye soccer ni kawaida sana mkuu. Sasa ulitaka afunge kwenye ligi ipi , na wakati anacheza Tanzania. Au umpime kwenye ligi ya taifa lipi( south africa , Algeria au misri ..) ili iwe kipimo sahihi kwako unavyoona?
Hilo umeongea wewe unayejua football siyo wale mbumbumbu wenzako wanaompamba utadhani Bibi harusi anakwenda kuolewa.
 
Wacha wivu wa kisengerema wewe mshamba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
mshahangae mleta mada!
 
Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
Kivipi yaani zungumza kwa data ueleweke weka data hapa.
Kama alishawahi kumzuia siyo unaongea kama tupo kwenye vilinge vya kahawa.
 
Baada yakumaliza msimu akiwa na magoli yakutosha huo ulikua ni mwendelezo tu.
Sasa hiyo inamaanisha alianza kuitwa goal machine kwenye mechi za timu za ligi kuu,ila ni wazi kuwa hata timu zetu ni bora pia so mayele ni goal machine na baleke ni goal machine pia,mtu akibisha hili hawezi kuwa makini.
 
Sasa hiyo inamaanisha alianza kuotwa goal machine kwenye mechi za timu za ligi kuu,ila ni wazi kuwa hata timu zetu ni bora pia so mayele ni goal machine na baleke ni goal machine pia,mtu akibisha hili hawezi kuwa makini.
Tatizo mnalazimisha kwa mechi mbili kwa kumuita goal machine nakumpamba ngoja tuone mbona sikuhizi hamuimbi Tena kuhusu phiri Nini kimetokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…