Mechi ya Simba vs Mtibwa na Ihefu, siyo kipimo sahihi kwa kwa mchezaji Jean baleke na kuanza kumuita "the goal machine"

Wydad away kawaweka pia kenge wa kijani weeeeeh
Horoya kawaweka pia na hizo ni klabu bingwa sio luzaz boya weeeeeh
 
Kipimo Cha Mayele kilikuwa Zalan FC au siyo.

Hivyo tutumie ligi ipi kumpima.

Kwahiyo kocha anamtuma uwanjani kufanya nini?

Mcheezaji kufunga inategemea fitness yake, mbinu za kocha na mazingira ya timu kwa ujumla. Kombinesheni ya ubora wa wachezaji wenzake pia.

Kwani Mazembe pale mna timu gani?

Swali ni je tumpime kwa mechi gani, Na je akifanya vizuri tisimsifie?

WEWE NI UTOPOLO HUJUI CHOCHOTE KUHUSU UTOPOLO YAKO KUTWA UNAIWAZA SIMBA. hamna Cha kuandika kuhusu Yanga yenu?

Nb: mechi kumi za mwisho mashindano yote: Baleke goli 12,Mayele goli 4.
 
Brother JEAN BALEKE msimu wa 2020-2021 akiwa TP ENGLABA MAZEMBE ndiye aliye mzuia FISTO KALALA MAYELE Akiwa AS VITA CLUB Asichukue kiatu cha ufungaji Bora katika ligi ya Congo Sasa unataka tumuite nani GOAL MACHINE?
Hana kumbukumbu huyo
 
Kweli mkuu mpira ni mchezo wa wazi kabisa, kiwango walichokionyesha mtibwa na ihefu huwezi kuanza kumpamba mtu wakati galasa tu.
So tutumie nn kumpima. Kwasababu ndiyo Kazi aliyomtuma kocha.

Na asingefunga mngekuwa mnakunya Nini humu!

Hao Ihefu wewe ulie bora uliwafunga goli ngapi?

Juzi mlisema Simba kanunua mechi, hoja imekufa leo Ihefu imegeuka kuwa dhaifu
 
Juzi Ihefu Ni timu imara haiwezi kufungwa goli 5,Ihefu imeuza mechi.

VS

Leo Ihefu Ni timu dhaifu si kipimo kwa Baleke.

Manara aliwahi kusema: Pale utopoloni kuna watu 2 tu wenye akili, Kikwete na Mzee Sunday Manara.

(Hii haijabadilika wenye akili Ni hao 2 hajaongezeka hata mmoja)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…