Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda ndio utaamua chiefIairoshwe tu Simba tucheze viporo vyetu
Raja aliwagonga kwenye mvua, Mwanza tuliwagonga kwenye mvua sema kingineNa anayeomba hii game iahirishwe ni Yanga. Sisi wa pira objective wala hatuna shaka na hii mvua maana pira letu linatembea vizuri tu kwenye hali hii. Sasa wale wa pira draft wasubiri kuona wakishangazwa.
Mkuu Mwanza hakuna mvua huko?Kwani Match lazima ichezwe Dar wailete hata huku Mwanza.Bado Mapema wachezaji waje na ndege hata ya saa 7
Dodoma hakuna mvuaMkuu Mwanza hakuna mvua huko?
Maeneo mengi Tz bogi linachapa
Dodoma jangwa la sahara mvua itoke wapiDodoma hakuna mvua
Mwanza inanyeshaMkuu Mwanza hakuna mvua huko?
Maeneo mengi Tz bogi linachapa
Shida tupu yaani jua kali na mvua hakunaDodoma jangwa la sahara mvua itoke wapi
AahaaaaDodoma jangwa la sahara mvua itoke wapi
hahaa mechi ni ngumu hiiNa anayeomba hii game iahirishwe ni Yanga. Sisi wa pira objective wala hatuna shaka na hii mvua maana pira letu linatembea vizuri tu kwenye hali hii. Sasa wale wa pira draft wasubiri kuona wakishangazwa.
chief ipigiwe kirumba?Kwani Match lazima ichezwe Dar wailete hata huku Mwanza.Bado Mapema wachezaji waje na ndege hata ya saa 7
hili bogi linaua game mentality ya fans wa yanga. vijiweni jana wanadai mvua hii ni uchawi wa simbaMbona hyo kawaida mkuu mvua tuna kazi nayo hyo mkuu.