Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #41
itabidi tuanzie hapo kuhoji chiefNi Nani alikarabati uwanja kwa ela nyingi kiasi kile na akashindwa kukarabati pitch iendane na ya kisasa ?
Pitch ingenyanyuliwa juu maji yawe yanatoka sio kusimama Kama dimbwi na kupelekea tope !
Mbona viwanja vya waliondelea kuna msimu maji yanafululiza kumwagika lakini pitch ni kavu haiweki maji au kuleta tope ?