Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Mh! Hiyo sijawahi kuisikia. Kwani wakaguzi hawakutest uwanja kabla ya kuupokea kutoka kwa mchina? Huyo contractor alinyongwa lini?
ni stori ya vijiweni ambayo ilienda viral sana kuhusu uwanja wataifa kuwa jamaa alinyongwa kwao baada ya kuonekana kajenga chini ya kiwango
 
RFA wameripoti kuwa taratibu za kutoa maji kwenye pitch zinaendelea,

updates:mvua imepoa pia
 
OIG (17).jpeg
 
Back
Top Bottom