Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
Kwani huo uwanja wa Mkapa hauna underground drainage? Kama hauna, basi wachina walitupiga; waturudishie chenji zetu.
 
labda ipo mkuu, walioko uwanjani watupe updates za pitch
Nashangaa pitch imejengwa kwa viwango vya kimataifa halafu watu wanauliza uwanja kujaa maji. Mbona hatujawahi kushuhudia pitches za Old Trafford, Stamford Bridge au Anfield zikiwa na shida kwenye mvua. Na kumbuka viwanja hivi vilijengwa karne ya 19. Sasa iweje kiwanja kimejengwa karne ya 21 kinakuwa na tatizo la kujaa maji? Shame on us. Basi wachina walitupiga. Mbona viwanja wanavyojenga kule kwao China havijai maji? Nonsense!
 
Nashangaa pitch imejengwa kwa viwango vya kimataifa halafu watu wanauliza uwanja kujaa maji. Mbona hatujawahi kushuhudia pitches za Old Trafford, Stamford Bridge au Anfield zikiwa na shida kwenye mvua. Na kumbuka viwanja hivi vilijengwa karne ya 19. Sasa iweje kiwanja kimejengwa karne ya 21 kinakuwa na tatizo la kujaa maji? Shame on us. Basi wachina walitupiga. Mbona viwanja wanavyojenga kule kwao havijai maji? Nonsense!
si ulisikia mkandarasi wa kichina alinyongwa chief!
 
Nashangaa pitch imejengwa kwa viwango vya kimataifa halafu watu wanauliza uwanja kujaa maji. Mbona hatujawahi kushuhudia pitches za Old Trafford, Stamford Bridge au Anfield zikiwa na shida kwenye mvua. Na kumbuka viwanja hivi vilijengwa karne ya 19. Sasa iweje kiwanja kimejengwa karne ya 21 kinakuwa na tatizo la kujaa maji? Shame on us. Basi wachina walitupiga. Mbona viwanja wanavyojenga kule kwao havijai maji? Nonsense!
huu uwanja aibu tupu, una vidimbwi vidimbwi vya kutosha, hasa hasa huku pembeni karibu na kona
 
Nashangaa pitch imejengwa kwa viwango vya kimataifa halafu watu wanauliza uwanja kujaa maji. Mbona hatujawahi kushuhudia pitches za Old Trafford, Stamford Bridge au Anfield zikiwa na shida kwenye mvua. Na kumbuka viwanja hivi vilijengwa karne ya 19. Sasa iweje kiwanja kimejengwa karne ya 21 kinakuwa na tatizo la kujaa maji? Shame on us. Basi wachina walitupiga. Mbona viwanja wanavyojenga kule kwao havijai maji? Nonsense!
Ni aibu Sana halafu wanajitapa wameboresha. Kamvua kadogo Tu unakuta maji yametuama kwenye pitch wakati ulaya hata mvua iwe kubwa vipi huoni maji viwanjani.
 
Back
Top Bottom