Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Muda bado upo tuone hali itakuwaje kufika jioni hasa hasa huko temeke sijui hali ikoje
 
Ni Nani alikarabati uwanja kwa ela nyingi kiasi kile na akashindwa kukarabati pitch iendane na ya kisasa ?
Pitch ingenyanyuliwa juu maji yawe yanatoka sio kusimama Kama dimbwi na kupelekea tope !
Mbona viwanja vya waliondelea kuna msimu maji yanafululiza kumwagika lakini pitch ni kavu haiweki maji au kuleta tope ?
 
Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
Muda wa mechi ukiwadia mvua itakata vyura wanyolewe vizuri
FB_IMG_1699171775072.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom