tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mh! Hiyo sijawahi kuisikia. Kwani wakaguzi hawakutest uwanja kabla ya kuupokea kutoka kwa mchina? Huyo contractor alinyongwa lini?si ulisikia mkandarasi wa kichina alinyongwa chief!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Hiyo sijawahi kuisikia. Kwani wakaguzi hawakutest uwanja kabla ya kuupokea kutoka kwa mchina? Huyo contractor alinyongwa lini?si ulisikia mkandarasi wa kichina alinyongwa chief!
yaah muhimuMkuu tupia basi picha picha
ni stori ya vijiweni ambayo ilienda viral sana kuhusu uwanja wataifa kuwa jamaa alinyongwa kwao baada ya kuonekana kajenga chini ya kiwangoMh! Hiyo sijawahi kuisikia. Kwani wakaguzi hawakutest uwanja kabla ya kuupokea kutoka kwa mchina? Huyo contractor alinyongwa lini?
hayo mambo yana viongozi wake acha kiherehere bwanamdogo we kapambane na umaskini wakoMpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
sawa tajiri wa jfhayo mambo yana viongozi wake acha kiherehere bwanamdogo we kapambane na umaskini wako
Duh..!!Muda wa mechi ukiwadia mvua itakata vyura wanyolewe vizuriView attachment 2804500
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga inachapa sana Tangu Jana jioni haijakatika mpaka mida hii nimewasiliana na watu wa hapo wanasema inachapa Sana na mpaka saa nane hii walisema hali ni teteMwanza inanyesha
Leo ni Simba vs YangaSimba leo watafungwa 3-0
Chura haogelei kwenye maji ya motoNgoja tuwapasue kwenye mvua
Kama anacheza chura sawaChura haogelei kwenye maji ya moto
hili bato lenu halooKama anacheza chura sawa
Kweli haogeleiChura haogelei kwenye maji ya moto