Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

Muda bado upo tuone hali itakuwaje kufika jioni hasa hasa huko temeke sijui hali ikoje
 
Ni Nani alikarabati uwanja kwa ela nyingi kiasi kile na akashindwa kukarabati pitch iendane na ya kisasa ?
Pitch ingenyanyuliwa juu maji yawe yanatoka sio kusimama Kama dimbwi na kupelekea tope !
Mbona viwanja vya waliondelea kuna msimu maji yanafululiza kumwagika lakini pitch ni kavu haiweki maji au kuleta tope ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…