Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

itabidi tuanzie hapo kuhoji chief
 
Wasi wasi wangu siku ya leo ni hali ya pitch na uwepo wa mashabiki uwanjani kuwa hafifu sana
 
Halafu joto kali na hewa kavu. Sijui ndio nini hii sasa
Sometimes I wonder
Huu mkoa kuufanya makao makuu tumekwama nimezaliwa hapa lakini sioni progress zozote .

Vumbi kali, jua la utosi, mvua hakuna, mimea inakauka ..!

Strange zaidi ni watu bado wanakata miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…