Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uwanja uko overused aisee.Ni aibu aisee uko duniani mechi za usiku ni Tamuu kuangalia uwanja safi,mwanga wa kutosha unaweza sema ni mchana huku kwetu sasa TV haiwaki,Mataa yanasinzia sasa iyo VAR itaweza kuendeshwa kweli?
Uwanja upumue
Wewe si unaona uwanja wenyewe vipara kila sikuMeneja wa huo uwanja kazi imemshinda
Rescue team mpo kaziniAcha ujuaji kaka, umesahau fainali za afcon taa zilizima kabisa? Changamoto zinatokea kawaida tu
OhhhoMambo yalitakiwa kutokea miaka ya 60 bahati mbaya yanatokea leo
Acha ujuaji kaka, umesahau fainali za afcon taa zilizima kabisa? Changamoto zinatokea kawaida tu
Rushwa ten percent kila konaKila kitu hapa Tanzania ni cha kutia aibu. Kisa hiki ni miongoni mwa visa vingi ila havionekani kirahisi. Yaani tuko pabaya kuliko unavyoweza kufikiria