DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Je Familiya yake utailisha?Mwambie kama ni mume wako, baba yako, mama yako au awala yako kama ndio meneja wa uwanja kesho anafukuzwa kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je Familiya yake utailisha?Mwambie kama ni mume wako, baba yako, mama yako au awala yako kama ndio meneja wa uwanja kesho anafukuzwa kazi.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yupo wanjani na mahavu yake anatoa macho tu hajui hata Cha kufanya.
Huko ni nyumbani mangi,au huoni tofauti?[emoji849]we nyumbani kwako huwa unakagua taa?
Mnafanya uzembe na kazi za watu kwa kisingizio cha familia?Je Familiya yake utailisha?
Italishwa na pesa za tozo wanazochuma.Je Familiya yake utailisha?
Hahahahahahahahahahha[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mnafanya uzembe na kazi za watu kwa kisingizio cha familia?
[emoji1]dah Bongo raha sana.Kuna watu kwa kweli hawajipendi walienda kuchezea switch makusudi wameshakamatwa tayari jeshi la
Polisi wanafanya kazi Yao.